When a woman love..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

When a woman love.....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mysteryman, Oct 7, 2011.

 1. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hakika she loves for real....she gave me her love, her trust and everything...she loves me much better, better than i love myself but the problem is i dont love her, inaniuma sana kuona huyu binti ananipenda kiasi hiki halafu i cant love her back....i cant force myself to love her as you both know that love cant be forced to anyone and i cant play with her feelings....kifupi ananipenda sana keshanifanyia mengi kama zawadi nk nashindwa kumwambia ukweli coz at that rate anaweza fanya chochote mana she tried once to kill herself alipohisi tu kama namcheat....naombeoi ushauri waungwana nifanye nini? Kiukweli its not my fault she has fallen inlove with me....am so tired with this pretending love i have for her..... Thank god we havent make love till now she desperately need it but nimekua nikikwepa situation na so many excuses.....wat to do guys?
   
 2. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  shetani mkubwa wewe!! umeamua kumpotezea muda mwenzio!!! mi watu na namna hii nikiwaona hua napata mori ya kuwazika wakiwa hai!!
   
 3. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Inatakiwa issue kama hii ikitokea unamtaarifu mapema kabla hamjaingia kwenye mahaba maana ukishamuonjesha mwenzio alafu uje umtose inakuwa haijakaa vizuri
   
 4. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  shetani mwenyewe na mimi cjampotezea muda ni yeye mwenyewe ndo amekua akijiforce kwangu despite knowing that i never loved her....
   
 5. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Pole yake huyo mdada. Unavyozidi kukaa kimya na kupritendi mwenzako anajua mko pamoja. Vunja ukimya, mwambie ukweli, ataumia lakin yatapita.
   
 6. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2011
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  JAMII FORUMS inahitaji kitufe kingine cha IQ rating kwa wachangiaji wa thread
   
 7. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2011
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  mwambie ukweli mkuu ataumia lakini atakubali, hayo ya yeye kunywa sumu ni mbwembwe tu, ila jitahidi kutumia busara utapatofanya hayo maamuzi magumu .
   
 8. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  ndio maisha siku moja ataujua ukweli ataumia na atasonga mbele na wewe utakutana na wakukushika masikio na yeye atakuchezea ngoma mdebwedo mpaka ufurahi ndio utakumbuka ulichomtenda mwenzio .
   
 9. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  evil creature......Evil creatures here they come.stupid........
   
 10. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,075
  Likes Received: 4,658
  Trophy Points: 280
  Ur a very foolish, arrogant, ignorant,illiterate, not matured man, you exclusively identified urself having kiddish, childish, babish behaviour despite being reached puberty, still u possess adolescent mind, unajisifiaaaaa wanaume hatuko hivyo, ur not geniune, je msichana wa watu akijiua na umesema she tried one day, ww si mwanaume u just have uume shiit, tell her everything jinga kweli ww, hovyo, nilipoteza my elder sister bcoz ya wanaume hovyo kama ww, be a man like ME, stop upuuuuzi, ningekuchapa vibao if u have been nearby me seriously
   
 11. Makanyaga

  Makanyaga JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2011
  Joined: Sep 28, 2007
  Messages: 2,501
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  Chukua tano!
   
 12. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #12
  Oct 7, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Pole sana Mh Rais, naona kisu kimegusa mfupa. Lakini jingine pia la kumwambia huyu bwana ni kwamba aangalie isije ikawa baada ya kuachana na huyu mdada ndo atakuja ku realize kuwa kumbe she was the woman of his life,kwa sasa anachokifanya ni ku abuse her feelings,ambayo ni mbaya sana kwa kweli,Mkuu si unajua mkataa pema?
   
 13. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #13
  Oct 7, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Sasa we ukipoteza ur sisi pole ,ndio uwe na hasira na watu ?Na wewe mtoa mada hakikisha unampa ukweli huyo dada mkiwa mmetulia asijeakajikil
   
 14. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #14
  Oct 7, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Ficha upumbavu wako, Onyesha hekima mambo yatajipa yenyewe.
   
 15. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #15
  Oct 7, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mkuu kwanza unatakiwa ukubali kuwa umefanya makosa kwa kupretend na kuendelea kuprend kupenda mtu ambaye kiukweli humpendi, ni kitu kibaya sana kucheza na hisia za mtu,kwann tangu siku ya kwanza hukuwa mkweli au kuonesha kuwa humpendi hata kwa kupunguza mawasiliano?nakushauri tafuta muda muafaka kaa nae hakikisha umejipanga vizuri kuongea naye kwa busara na kirafiki zaidi na usimwambie ulipretend ataumia zaidi mwambie ukweli kuwa huwezi kuwa nae kama mpnz na umpe sababu za kueleweka ambazo hazitakuwa za maudhi au dharau,najua kuumia hakuta epukika lkn utakuwa umemsaidia kuendelea na maisha yake na hata kuwa na mwingine.
  Mwombe mungu maishani mwako yasikukute uliyomfanyia huyo dada,nataman kusema neno baya ila namwachia mungu akuhukumu mwenyewe kwa matendo yako maovu.
   
 16. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #16
  Oct 7, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  from the way you write, I can tell you are a woman! not a guy...
   
 17. l

  luckman JF-Expert Member

  #17
  Oct 7, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Ni vizuri hujado naye but its time now to be open in either way to rescue her feelings!
   
 18. G_crisis

  G_crisis JF-Expert Member

  #18
  Oct 7, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 715
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Kuna mambo hujayaweka wazi,funguka zaidi kwa nini una pretend???
   
 19. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #19
  Oct 7, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,473
  Trophy Points: 280
  andika basi lugha moja.....tutakuele tu
   
 20. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #20
  Oct 7, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,473
  Trophy Points: 280
  Jesus! RussianRoulette!
   
Loading...