Mwanamke wa kuzaa naye

Kaitaba

JF-Expert Member
Jun 30, 2009
918
47
Habari zenu, natafuta mwanamke wa kuzaa naye watoto wawili wa kiume tu, sababu nitazitoa baadae. ila sitaki tuoane, sitaki tukae pamoja kama mume na mke, kila mmoja akae kivyake.
 
Power G

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
3,891
1,190
Habari zenu, natafuta mwanamke wa kuzaa naye watoto wawili wa kiume tu, sababu nitazitoa baadae. ila sitaki tuoane, sitaki tukae pamoja kama mume na mke, kila mmoja akae kivyake.
Tutakutofautisha vipi wewe na beberu la mbuzi ambalo linaingia kwenye kundi lolote na kuzaa kisha kutokuwa responsible kwa mke wala mtoto??
 
Kaitaba

JF-Expert Member
Jun 30, 2009
918
47
Tutakutofautisha vipi wewe na beberu la mbuzi ambalo linaingia kwenye kundi lolote na kuzaa kisha kutokuwa responsible kwa mke wala mtoto??
Nataka watoto, sio mke, sababu nitazitoa kwa huyu tukayeelewana pamoja, ina maana kuwa nitabeba majukumu yote kama baba, baada ya miaka 7, watoto nitakaa nao mimi.ninacho maanisha hapa ni kuwa huyo nitakayezaa naye, atakuwa na uhuru wa kuolewa kokote baada ya kunizalia hao watoto wawili.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Top Bottom