Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Imebainika kwamba wanandoa ambao wakikasirishwa wanatoa hasira zao, wanaishi zaidi kuliko wale ambao hukaa kimya lakini wanaumia kwa ndani. Kuna wanandoa ambao wanaitwa wapole, ambao wala sio...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna rafiki yangu mmoja alifunga ndoa zaidi ya miaka mitatu iliyopita. Hata hivyo, hivi majuzi alinidokeza kwamba tangu afunge ndoa na mke wake alijisikia furaha ya ndoa katika wiki ya kwanza tu...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Jamani naomba mnisaidie, nawezaje kugundua kama mke wangu ama mpenzi wangu ametoka kufanya mapenzi leo leo kabla mimi sijakutana naye. Hebu nipeni mbinu waungwana nitagunduaje jambo hilo? Mfano...
0 Reactions
24 Replies
10K Views
mwanamke anatakiwa aweje(tabia)ili aweze kuishi vizuri na mwanaume anayetarajia kuwa nae kwenye mahusiano?
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Duniani kuna mambo, mkasa huo; DUBAI (AlArabiya.net) A 50-year-old Saudi woman asked for divorce after her husband lifted her face veil while she was sleeping, local press reported. For...
2 Reactions
26 Replies
5K Views
What would you do if you woke up one day to the news that one of your children didnt belong to you? Not many men imagine this can happen to them until that fateful day when they discover the...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
sema chochote
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wana JF, kuna hiki kitu ambacho mimi huwa nashindwa kuelewa, ni kwanini mdada anapokuwa mcheshi wakaka/wanaume huwa wanachukulia kuwa she is easy to get. Utakuta wakaka wengine wanamsema...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Mimi niko nje ya nyumbani(TZ) niko ugenini, kazini kwangu kuna dada wa miaka kati ya 24-30 ni mfanyakazi mwenzangu na ni mke wa mfanyakazi mwenzetu, ananitaka kwa nguvu ametumia email ameona...
0 Reactions
60 Replies
7K Views
habari kuna dada mmoja amenieleza kisa hiki kimemtokea hadi sasa anashindwa aamue nini huyo dada kaolewa kwa ndoa ya kanisani miaka 11 iliyopita na wamejaliwa watoto 2 ila karibu kuna tatizo...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
ZAIDI ya nusu ya wanawake walioulizwa wameonyesha kutoridhishwa na tabia ya wapenzi wao kupuuzia umuhimu wa kuchezeana kimwili kabla ya kufanya-sex. Hii ni kwa mujibu wa dondoo za utafiti...
0 Reactions
71 Replies
10K Views
Kauli hiyo siku hizi ni ya kawaida sana, kwani kila uchao watu wanaoana, kila wiki siku hizi utasikia matarumbeta na nderemo kila kona na sio mijini tu bali pia hata huko vijijini watu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Huyu jamaa alikuwa mpnz wangu kwa miaka 2, mwaka jana mwezi wa pili akawa amebadilika analewa sn tukawa tunagombana hatimae tukaachana mwezi wa 4 kila mtu akawa na maisha yake, yeye akapata...
0 Reactions
149 Replies
12K Views
We all know what power does to a person..... I mean kuna watu wakipata madaraka..kazi...elimu...pesa zaidi ya walizokua nazo mwanzo wanaruhusu vitu hivyo vitawale hata utu wao na wanabadilika...
1 Reactions
45 Replies
4K Views
Kwa nini wanawake wenye makalio makubwa wapendwe sana
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Wapendwa hamjambo? Ninaomba mnisaidie kufikiri maana sasa naiona dunia ya mapenzi kama uwanja wa fujo tu ambao natamani kama ningeweza kujiepusha nao niuepuke. Nimesoma na kusikia visa vingi...
6 Reactions
159 Replies
11K Views
Kuna wanaume ambao hawataki kabisa kuona mke akiwa na uhusiano wa karibu na ndugu zake (mwanamke). Hataki kabisa kuona mkewe akionyesha kuwa na mshikamano mkubwa sana na ndugu zake. Inawezekana...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwanza nawapenda sana watanzania wenzangu popote mlipo Mungu aendelele kutupa amani na utulivu.Kuna binti anaitwa Ester nilikutana nae kwenye treni nikitoka mwanza kwenda dar (chuo),alikuwa ni...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Ila nakupa ushauri mmoja, mwanaume hasifiwi kwa kuwa na maumbile ya kiume, maana hata mashoga wana maumbile hayo, ila kuna sifa ya ziada kwa mwanaume,kuwa na msimao.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu wanaJF. Eti jamani hii issue kwanini inakuwaga hivi? Mwanadada akikushika makalio bwana aaaa.., yani inakuwa shwaari, lakini dume lenzio likikugusa hata ikiwa ni kwa bahati mbaya tu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom