Nina g.f kwa mwezi wa nne sasa yeye anasoma mkoani chuo fulani.. ni mpole mnoo chochote nitakachosema basi anatekeleza na kiukweli nampenda sana nilimgusia kuhusu kuoana next yr akiitimu akasema...
Who travel for love finds a thousand miles not longer than one
sometimes the heart sees what is invisible to the eye
It is obvious that all sense has gone out of modern marriage: which is...
Malezi huweza kuwaathiri!
Mwanamke ambaye ana tabia a kujilaumu yeye kama mwanamke na kulaani kuwa kwake mwanamke, yuko kwenye nafasi kubwa ya kumuuwa mtoto wake wa kike kisaikolojia...
Kama kubaka ni hali ya mwanaume au mwanamke kulazimisha kufanya tendo la ndoa bila hiyari ya mwingine, basi wanawake wengi sana walioko kwenye ndoa hubakwa na waume zao kila siku.
Kubakwa...
Kuna thread moja nimeiona jamvini kama siku mbili tatu zilizopita (bahati mbaya sikumbuki ilirushwa na nani..., naomba mnisamehe kwa hili). Kifupi mrushaji wa thread hiyo (nahisi alikuwa ni...
umeenda club huko ume enjoy vakutosha na ukaamua kuchukua dem au msela wa kupunguza maukame ya miaka nenda rudi .........
mnacheza game ucku kucha na kulala fofofo zen mnapoamka asubui unaanza...
NINA Jirani na ninao ishi kuna msichana (BINTI WA MWENYE NYUMBA NILIPO PANGA), ni rafiki na jirani yangu (tanga).
Kitu ninacho shindana naye, anataka nimwoe. Na imefika wakati sasa hataki...
Na watu hao upenda sana vya wenzao, kwa ufupi naweza sema "chako changu changu changu" ndio style yao, kwani kuna mtu anazikwa na pesa au gold,jamani? Some people need change,
Unaweza usiniamini haya niyaelezayo hapa, lakini ni ukweli mtupu na sasa sijui namna ambavyo ninaweza kutoka katika uhusiano huu maana sitaki kumkosesha raha mke wangu, ni kwamba mwaka 2007...
Eishh
wakuu natembea na mama mmoja ana 51 years old,nikimwangalia usoni kidogo kazeeka lakini kwenye majamboz kitandani ni mtamu sijawahi ona,mama mwenyewe hataki kuniachia,je nifanye nini?ni vema...
Naishi na Shemeji yangu ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa Kwanza chuo kikuu. Aka kabinti mara mbili nimekakuta chumbani kwangu kanatumia make up ya dada yake akiwa amekaa kwenye kitanda chetu? Jee...
Wadau,kwanza polen sana na mzigo wa deni la dowans!!ni hv,nlikua na gal wangu,baadae 2kaachana na yeye ndo alyekua wa kwanza kuniambia 2achane,tukakatiana mawasliano kwa muda wa miezi 6,juzi...
Katika utafiti uliofanywa na kituo cha kuthibiti magonjwa ya zinaa huko Chicago (CDC) Marekani na kutangazwa rasmi kwenye vyombo vya habari tarehe 11/03/2008, inakisiwa kwamba asilimia 26 ya...
wakati tanzania ikiazimisha miaka 50 vya vituko na ufisadi,,,naomba jukwa letu tuwaheshimu wote waliofwahi kupitia
mizigo na kufikia 50 ama zaidi kwa kuwa wanaimarisha jukwaa letu na kuweka...
Jamani wandugu, heshima zenyu bana.
Mimi ni kijana mwenye maisha na kipato cha kawaida, naona umri unasonga kwa kasi ya ajabu, na hivyo kuifanya nafsi yangu inishawishi ya kwamba wakati wa kuoa...
Nimeskia mjadala leo asubuhi kwenye redio (classic FM-Kenya) kuhusu wanaume wa Kenya. Je mwanaume anaweza itiwa kazi na mwanamke hivi na akatae? Please click to the link usikie hiyo conversation...
Nipo kwangu naangalia tv mara simu kutoka kwa rafiki yangu kuhusu mkasa uliomkuta nusu saa nyuma akiomba ushauri kwangu..... Kuna g.f alifika kwake kutokea MZA siku ya 4 sasa lakini akiwa ndani...
Nachokijua binadamu wote tuna kasoro!kwa misingi hiyo wewe unaona nini kwa mpenzi wako au wapenzi uliowahi kuwa nao nini kasoro walizokuwa nazo?nawewe hukuzipenda?na ukilinganisha na uliyenaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.