Jamaa hata wiki bado kichwa kimeanza kumpasuka!!
KakaKiiza JF-Expert Member Feb 16, 2010 11,380 8,135 Oct 12, 2011 #1 Jamaa hata wiki bado kichwa kimeanza kumpasuka!!
V valid statement JF-Expert Member Sep 18, 2011 2,843 835 Oct 12, 2011 #2 kwa sababu gani mdau, embu tufafanulie kidogo.
arabianfalcon JF-Expert Member Oct 19, 2010 2,291 583 Oct 12, 2011 #3 Unamanisha nini hapo?au huyo anaesikitika ikiwa ni Mume mtarajiwa hakuna asilolijua hata moja kuhusu mkewe mtarajiwa,ss kinachomsikitisha nini? asitulete wazimu wake sie....
Unamanisha nini hapo?au huyo anaesikitika ikiwa ni Mume mtarajiwa hakuna asilolijua hata moja kuhusu mkewe mtarajiwa,ss kinachomsikitisha nini? asitulete wazimu wake sie....
mikatabafeki JF-Expert Member Dec 29, 2010 12,790 4,621 Oct 12, 2011 #6 siiijui labda atabadilika tho hizi tabia muda mwingine ni inborn
Mtalingolo JF-Expert Member Aug 4, 2011 2,182 408 Oct 12, 2011 #7 Mtoa mada jaribu kuwa muwaza, sasa sisi tuelewe nini hapo?