Match not found on mmu

msani

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
1,801
1,191
Habarini wana JF!
wanawake wanaotafuta wanaume wa kushi nao hapa MMU wana umri mkubwa sana tofauti na wanaume wanaotafuta wanawake wa kuishi nao ndani ya ndoa au hata katika mahusiano ya kawaida!
nimeona wanaume asilimia kubwa wanadai umri wao mdogo tofauti na mdada anayetafuta mwanaume
tatizo ni nini ktk jamii hii
 
Msani,hivi yote yanayoandikwa humu MMU unayaamini Mkuu?Chujio muhimu hapa MMU!
 
Msani,hivi yote yanayoandikwa humu MMU unayaamini Mkuu?Chujio muhimu hapa MMU!
Bishanga,mi kwa kiasi fulani huwa najua kuwa kunakumaanisha humu mmu tofauti na kule kwenye jokeslabda ngoja nifungue ukurasa mwingine na nichukue chujio nitembee nalo humu mmu,si unaona hata AshaDii naye aliwaza kama mimi,sasas hao wanaohitaji ushauri kwa GT!!!!!!!!!!!!!!!
 
hawa wanaume wenye umri mdogo wanaongozwa na tamaa, they are not serious

wanawake wenye umri mkubwa hawana jinsi, wamefanya maamuzi magum kusaka ndoa hapa
 
hawa wanaume wenye umri mdogo wanaongozwa na tamaa, they are not serious

wanawake wenye umri mkubwa hawana jinsi, wamefanya maamuzi magum kusaka ndoa hapa
Duu hii inaashiria nini?Bei Mbaya,maaana naanza kupata vitu tofauti na tafsiri mkanganyo hasa hapa kwenye mmu kwani wengi utasikia eti umri wangu mdogo mi nikadhani humu hakuna mabinti wa umri mdogo ambao wanahitaji wanaume wa kuwa nao ndani ya ndoa.
anyaway,ngoja nisubirie mawazo ya GT's
 
watu wanachangamsha jamvi tu sidhani kama wapo serious.
Habarini wana JF!
wanawake wanaotafuta wanaume wa kushi nao hapa MMU wana umri mkubwa sana tofauti na wanaume wanaotafuta wanawake wa kuishi nao ndani ya ndoa au hata katika mahusiano ya kawaida!
nimeona wanaume asilimia kubwa wanadai umri wao mdogo tofauti na mdada anayetafuta mwanaume
tatizo ni nini ktk jamii hii
 
Hao vijana wadogo idadi yao imeongezwa na new members kutoka facebook baada ya kuzinguana na wenzao!! Haijathibitishwa, msinikabe koo tafwazaali!!
 
Hao vijana wadogo idadi yao imeongezwa na new members kutoka facebook baada ya kuzinguana na wenzao!! Haijathibitishwa, msinikabe koo tafwazaali!!
kipipi amejitetea jamani hana uhakika na alichokisema.................mh
 
Back
Top Bottom