Swali gumu na halina jibu moja,lakn ngoja nieleze yangu
1.awe mzuri(subjective kwa vigezo vyangu)
2.awe anajiamini(hapa namanisha awe na say na asimamie kile anachokiamni)_sio nafanya makosa anachekacheka kwa uoga.
3.awe mtiifu(aitambue nafasi yangu kwake na kwa familia i.e baba kichwa cha nyumba).
4.awe msikivu na mueledi wa mambo(sio anaambiwa vitu na kukurupuka na kuanza kurusha mawe)
5.asiwe mhanga sana wa maisha(hapa namaanisha asiwe mbahili kupita kiasi)..kila kitu bajeti_sio
6.mcheshi na mkarimu kwa familia na wageni pia
7.awe msafi na ajue kutimiza wajibu na majukumu yake i.e kupika,kufua,usafi wa ndani etc
8.asiwe na wivu kupita kiasi..kila mara kukuuliza uko wapi,unafanya nn,na kina nani?
Ni hayo niliyofanikiwa kuyakumbuka,ila natumaini yapo mengine sema wateja ni wengi wanahitaji huduma ya kushonewa na kubrashiwa viatu,...anyway_i will be back