lets talk about lovee!

millen

Member
May 18, 2011
42
5
kwanini mwanamke akionesha hisia za mapenzi kwa mwanume anaonekana malaya sababu ni nini?
 

Typical Tz

Member
Sep 13, 2011
45
4
Binafsi naona sababu kubwa ni mwendelezo wa mapokeo ya asili toka kuumbwa kwa mwanadamu (Mwanzo mungu alimuumba adamu-kupitia yeye mwanamke akapatikana). Hivyo mapokeo ya mila na desturi zetu toka enzi za mababu na kumbuka tamaduni hudumishwa kwa kuendelezwa kizazi hadi kizazi ndio maana jamii zilizo nyingi huamini kuwa mwanaume ndiye anakuwa wa kwanza kuonyesha hisia ya upendo kwa mwanamke.

Kuhusu kuonekana malaya.....mh naona ni mtazamo binafsi tu!, ila naona wanawake wengi wanakosa nguvu ya uthubutu ya kum-face mwanaume na kumwambia la moyoni (kama amemzimia) na hicho ndicho naona mungu amewanyima wanawake.
 

valid statement

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
2,843
835
si kweli kuwa anaonekana malaya.
Ila kuna vigezo vinafanya watu wamwite malaya, utakuta yeye kila mwanaume anayekatiza pande zake, anamwonyesha hisia za kumapenzi. Sasa kwanini tusimwite malaya.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom