Ushauri wenu waungwana

Aug 17, 2009
60
4
Wewe ni mke/mume,mwenzi wako anarafiki wa jinsia tofauti wako karibu saaana,yatokea mko wote wa3,mara mwenzi wako anaomba simu ya rafikie wa jinsia tofauti na ku2mia ku2ma sms anakokujua.Je ni sahihi?,na kama si sahihi mume/mke afanyeje?.Ushauri wenu wakujenga ni msaada mkubwa,ahsanten sana
 

AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,219
17,980
Dah! Mambo mengine magumu jamani... thou maraisi.... Kuna yaweza kua as follows...

  1. Aidha huyo mke mpole saana na ni passive yaani yee yoote hewala hua haulizi jambo kwa mumewe hata liwe out of line....
  2. Anatuma ujumbe kwa mtu ambae ana namba zenu woote (mke/mme) but hataki yule anaemtumia kua ni yeye katuma...
  3. Wana mahusiano na huyo dada ya karibu mno mpaka kuna vitu wanashare (au yeye sorely anasimamia) hivo kwa kutumia hio number anatoa taarifa sehemu husika kuhusiana na lolote in question.. Mfano gari ipo service ya huyo binti... sasa ajibu kwa kutumia hio number kua atawatafuta...
 

DEVINE

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
538
86
Kwanin asitumie ya kwake? Kwan ameishiwa,basi kwanin asiombe yako achukue ya rafiki yake? Ni nani anamtumia? Hayo ni maswali ya kujiuliza sana
 

Optimistic Soul

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
204
21
Take it easy, yaweza kua ni kuwadi wa jamaa so anamsaidia kutuma msg nzuri kwa mchumba ili amkubali, usihisi hisi tu muulize baadae mkiwa wawili, ila muulize kwa akili isije kua ugomvi, huwezi kupata jibu kwa kuhisi tu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom