Je upoje kitandani?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je upoje kitandani??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Oct 15, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,517
  Likes Received: 5,749
  Trophy Points: 280
  Nazima Tv, halafu nakwambia kitu!![​IMG] Picha kwa hisani ya inmagine


  Je unadhani wewe ni mwanaume mzuri kitandani? Hapa kuna maswali kwa ajili yako.
  Je ni mara nyingi mke wako huwa anakuhitaji kwa ajili ya tendo la ndoa?
  Je, kila unapofanya mapenzi yeye hufika kileleni? Je unauhakika jinsi ulivyo mzuri kitandani
  Basi jibu maswali yafuatayo kwa uangalifu na uhakika bila kudanganya na angalia mapendekezo ya majibu ambayo yapo kila baada ya swali.

  Kama ni mwanamke basi unaweza kumuonesha mume wako haya maswali ili ajibu ajipime yupo wapi katika kukuhakikishia unapata raha inayotakiwa kitandani siku zote.

  Je, ni mara ngapi huwa unajisifu sana kwamba wewe ni mzuri kitandani?
  (a) Kamwe sijisifu
  (b) Mara chache
  (c) Kila wakati
  Watu ambao hujisifu kwamba ni wazuri kitandani mara nyingi hawajiamini. Suala la tendo la ndoa ni maada sensitive sana kwa wanaume, hivyo kujisifu inawezekana ni kujaribu kufunika ukweli.

  Je, nini mtazamo wako kuhusu usafi?
  (a) Nipo kawaida, naoga, najinyoa ndevu na kutumia vipodozi vya wanaume na kuvaa nguo safi
  (b) Kuna siku siogi, pia naweza kuvaa nguo moja hata mara mbili
  (c) Nipo makini mno, naosha mikono kila wakati na sipendi kabisa kugusana na mtu mwingine asije nichafua
  Kuwa msafi siku zote ni kitu kizuri sana. Wanawake wapo sensitive sana na kile wananusa kuliko wanaume.
  Hii ina maana kwamba harufu mbaya huweza kumuathiri mwanamke kuliko mwanaume. Ni muhimu kuoga kila mara na kuvaa nguo safi, ingawa kuwa msafi kupitiliza kunaweza kuzima hamu ya mapenzi kwa mpenzi wako kwani huwezi kubusu kila sehemu kwa kuogopa kuchafuka.

  Je, mwonekano wako upoje? Umepinda au umenyoka?
  (a) Imara na mara zote mgongo umenyooka
  (b) Imara sana labda niwe nimechoka basi mgongo huinama
  (c) Kila wakati natembea nimeinama na kupinda mgongo
  Mwonekano (posture) ovyo siku zote unahusiana na Uvivu. Na kama ni mvivu maana yake wewe si mzuri kitandani pia.
  Wanaume wenye posture nzuri siku zote huwa wanasimama wima na mabega yakiwa sawa bila kuinama na pia ni wanaume ambao hupenda ku-improve vitu vingi katika maisha mojawapo ni suala la kitandani. Wanaume wenye mwonekano (posture) nzuri ni wazuri kitandani pia.

  Je, ni mara ngapi unaongea na mikono
  (a) Sifanyi kabisa
  (b) Nafanya kila ninapoongea
  (c) Mara moja au mbili kila ninapoongea
  Wanaume wanaongea huku mikono nayo ikisaidia mara nyingi ni wabunifu na wafikiriaji wazuri. Hujitahidi sana kuhakikisha wanapofanya mapenzi kunakuwa na matokeo mazuri. Kama una mwanaume wa jinsi hii basi utafurahia kitandani maisha yako yote hadi uzeeni.

  Je, wewe ni mbunifu kiasi gani kitandani?
  (a) Nafanya kwa utaratibu uleule kila siku miaka Nenda miaka rudi
  (b) Ninafanya tofauti kidogo angalau baada ya muda
  ( c) Najitahidi kuwa na kitu kipya angalau kila ninapofanya mapenzi
  Kuwa bored ndiyo sababu kubwa ya uhusiano wa mapenzi kuwa ovyo na hata hamu kwisha kabisa. Kujaribu kitu kipya pamoja na mikao tofauti wakati wa kufanya mapenzi husaidia kitanda kuwa cha moto kila mara.
  Wapo wanandoa ambao wapo kwenye ndoa zaidi ya miaka 60 na bado wana enjoy mapenzi.

  Je, kuna umuhimu wowote kwako kwa mke kufika kileleni?
  (a) Huwa sijali afike au asifike, ni kama hainihusu
  (b) Ni vizuri akifika kileleni
  (c) Nahusika sana na napenda afike kileleni na pia namsaidia kwa kiasi kikubwa kuhakikisha anafika kileleni
  Kufanya mapenzi kuzuri kunategemea sana jinsi ya kutoa na kupokea kati ya wahusika. Wanaume wengi wao ni rahisi sana kufika kileleni kuliko wanawake wakati wapo kitandani. Wanawake ni viumbe wa hisia hivyo huhitaji muda zaidi ili kuweza kufika kileleni. Ingawa wanawake wengi hawapowazi kuongelea hili, bado kufika kileleni ni kitendo kinachowapa kuridhika vizuri na tendo la ndoa.
  Hivyo kama huwa unahakikisha anafika kileleni basi wewe ni mwanaume mzuri kitandani.

  Je, ni mahali gani unamtumia kwa ajili ya tendo la ndoa?
  (a) siku zote ni kitandani kwetu chumbani
  (b) Chumbani sehemu yoyote, chini au kitandani
  (c) Mahali popote ambapo tunaweza
  Kama kunakitu kinatakiwa kuepukwa kwa nguvu zote basi ni ile kuwa na mazoea ya kuwa na sehemu au utaratibu mmoja wa kufanya mapenzi miaka Nenda rudi. Jaribu kuwa na sehemu tofauti za kufanya mapenzi, mnaweza kusafiri au kwenda camping au sehemu yoyote.
  Hawezi kusahau kumbukumbu za hizo sehemu.

  Je, unapokuwa kwenye tendo la ndoa huwa unasimamamisha kwa muda gani?
  (a) Dakika mbili au pungufu
  (b) Kama dakika 15 hivi
  (c) Hadi saa nzima kama kuna umuhimu
  Hakuna ubishi uume uliodinda husaidia kumsisimua mwanamke wakati wa kufanya mapenzi. Wakati mwingine mwanamke hukata tamaa kama akijisikia wewe husisimki na matokeo yake wote mnaambulia sifuri.
  Ni ukweli pia uume uliosimama na kudinda vizuri huwezi kumpa mwanamke msisimko ambao huwezesha kumfikisha kileleni.

  Je, ni muda kiasi gani huwa unatumia kumuandaa mpenzi wako
  (a) Sina huo muda
  (b) Dakika tano hivi
  (c) Hadi nihakikishe yupo tayari au amesisimka vya kutosha kiasi cha yeye kutaka.
  Kama wote tunavyojua maandalizi (foreplay) ni muhimu mno kwa ajili ya tendo la ndoa.
  Bila maandalizi tendo la ndoa halina ladha yoyote zaidi ya kuumizana.
  Kama huwa hufanyi maandalizi yoyote hapo ni dhahiri kwamba haitawezekana kwa mkeo kufika kileleni na hatafurahia inapofika muda wa kwenda kitandani.

  Na kama unatoa muda wa kutosha kwa wajili ya foreplay basi atakuwa anasubiri kwa hamu kubwa kusikia muda wa kitandani umefika.
  Pia ni vizuri kufahamu kwamba mwanaume mzuri ni yule ambaye hata baada ya kumaliza tendo la ndoa si mtu wa kukurupuka na kutoa uume wakati mke hajamruhusu kwani utamu wa tendo la ndoa kwa mwanamke ni wa muda mrefu zaidi hivyo ni vizuri kubaki ndani zaidi ya dakika 10.


  Je, ni mara ngapi unafanya mapenzi kwa kushtukiza?
  (a) Si rahisi na kawaida
  (b) Mara moja kwa mwaka
  (c) Mara kwa mara tunapotaka kufanya mapenzi
  Kuna raha yake kwa mwanamke kufanya mapenzi kwa kushtukiza. Utaratibu wakati mwingine huwa una bore, ni kama mazoea. Sex ya kushtukiza wakati mwingine huleta kumbukumbu nzuri zaidi na kuwa enjoyable.
  Wanawake huwafurahia wanaume ambao huwapa kile wanatarajia linapokuja suala la kitandani.
  Ukiwa mbunifu na mwanaume mwenye utundu kitandani basi mkeo atakushukuru na kukupenda zaidi kwa sababu unampa raha kamili
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,517
  Likes Received: 5,749
  Trophy Points: 280
  vigezo na mashart kuzingatiwa!!
   
 3. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Haya bana kezi kwenu kulinda heshima kwenye ndoa na kwenye mahusiano
   
 4. Benny EM

  Benny EM JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2011
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 80
  duh,kazi kweli kweli.
   
 5. 1

  1menARMY Member

  #5
  Oct 15, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahsante bana
   
 6. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  mi ni mwanaume gogo kitandani nalala tu, mpaka mwanamke shughulike mwenyewe. Sitaki shida mie mtoto wa kiume.
   
 7. M

  MAGISAC Member

  #7
  Oct 15, 2011
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeipenda hiyo, naamini wanaume wenye ndoa zao wakisoma hii lazima wake zao wafurahie tendo takatifu. Binafsi najivunia wangu ana sifa zote zinazofaa.
   
 8. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2011
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Mi naamini nampa mwenza wangu kilicho bora zaidi kuliko mtu yeyote yule, na pia najituma ipasavyo na kuweka ubunifu unaokubalika na maadili ya kitanzania. Na pia naamini kuwa na ndivyo ilivyo kuwa wangu mie naye anafanya kama mimi!
   
 9. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Mhhhhhhhhhhhh! hakuna shetani kweli humu ndani wakuu?
   
Loading...