Jamani nisaidieni mwenzenu wana jf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani nisaidieni mwenzenu wana jf

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by magori81, Oct 13, 2011.

 1. m

  magori81 Member

  #1
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nilioana na mume wangu miaka mitatu iliyopita,tumebahatika kupata mtoto mmoja.Bahati nzuri alipata nafasi ya kwena masomoni nnje ya nchi miaka miwili iliyopita. Tatizo langu ni kwamba ninashikwa sana na tamaa za mwili kiasi kwamba najikuta natamani kumsaliti mume wangu! nafsi yangu inanizuia lakini nateseka sana.naomba ushauriwenu wana JF
   
 2. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  KInamama karibuni kwenye uzi huu,ukumbi ni wenu.

  Wanaume (hasa wale wakware) msikanyage hapa.
   
 3. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  unatamani kusaliti? mh kwani kuvumila umeshindwa kabisaaa. we mwanamke mwenzangu vumilia bhana kuwa na staha na ndoa yako
   
 4. v

  valid statement JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  Yani unashindwa kukontrol tamaa za mwili? Kama kweli huwezi kuzikontrol... "Njoo ufanyiwe maombi".
  Miaka miwili mbona michache, Chunga tamaa mbaya zina madhara.
   
 5. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  ni pm nina ujumbe mahususi kwa ajili yako usiku wa leo..
   
 6. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,377
  Trophy Points: 280
  Pole sana, shetani huyo. Acha kuangalia porn, fanya mazoezi, piga ibada...yatakwisha tu. Tamaa unaweza kui-control.
   
 7. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,377
  Trophy Points: 280
  duh, kaka? Post hapa live. Mpe ujumbe wake.
   
 8. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mwambie arudi au akutumie tiketi mkaduu...
   
 9. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  chemsha tango mama........
   
 10. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #10
  Oct 13, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,726
  Likes Received: 446
  Trophy Points: 180
  Mwombe Mungu Akuepushe na hizo tamaa, zingatia sana kumwomba Mungu, kama wewe ni Mkristo Okoka kabisa, na kama ni mwangaliaji wa porn acha, piga zoezi, acha kuwaza sana mambo ya chumbani mliokuwa mkiyafanya wewe na mumeo(Punguza imaginations), jifunze kuishi kama mjane, vikizidi jikande na maji ya vuguvugu maeneo kupunguza mhemko.WAZO LA KUMSALITI MUMEO ACHA KABISA, OUTCOME YAKE NI MBAYA SANA.
   
 11. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #11
  Oct 13, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  mnh....................kuna uwalakini hapa
   
 12. undugukazi

  undugukazi JF-Expert Member

  #12
  Oct 13, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  We acha kutuzuga mbona unaonekana ushakula tunda msaliti wewe acha kutuchuza
   
 13. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #13
  Oct 13, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,346
  Likes Received: 2,352
  Trophy Points: 280
  Sikiliza ushauri huu.UKITOKA NJE YA NDOA UNAWEZA KUIBUA MATATIZO MAKUBWA KUSHINDA HIYO YAKO YA MIHEMKO.
   
 14. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #14
  Oct 13, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ongea nae pia, labda anaweza kujipanga awe anakuja mara kwa mara. Ila kusema ukweli mi sioni kama ulitakiwa kuweka shida yako hapa sababu sasa tuna jua wote there is a vulneralbe, lonely horny woman, tempted to cheat, out there... Unadhani nia ya members itakua nini sasa? Au ndio lengo?
   
 15. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #15
  Oct 13, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Vumilia Mbona Mkubwa Huko Masomoni anavumilia.
   
 16. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #16
  Oct 13, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Kwa tatizo lako linahitaji nikushauri face 2 face. niPM number yako nikutafute 2kae eneo 2livu ili nikushauri.
   
 17. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #17
  Oct 13, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  hivi nyie midume mnatafuta nini kwenye hii thread,in my considered opinion,uzi huu ni strictly for women.
   
 18. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #18
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  nakushauri ukizidiwa uwe unapiga punye. pia ondoa mawazo ya tendo la kikubwa. mwisho kabisa sex phone ihusu hapo.
   
 19. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #19
  Oct 13, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  vumilia tu mpz wangu mana hilo jaribu ni kali sana mfano mm nikiwa mbali na mchumba wangu na nikimmisi sana ninachofanya ni kumpigia simu na kuongea naye sana au kama yuko online tunaongea through webcam so nikimuona na kuongea naye sana mnacheka then unasahau mauchungu so fanya ivo itakusaidia kuliko umsaliti mume wako mana akijua itamuumiza sana na pia hata ww kama unampenda sana itakua inakusuta kila siku mpaka utakonda kwa cri uliyobeba rohoni ya usaliti ok mamy....................kama utaupenda ushauri wangu utakusaidia ok
   
 20. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #20
  Oct 13, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  tatizo thread inavutia!! mungu thi athumani unaweza uka2nukiwa! thi unajua jamaa yupo mathomoni.
   
Loading...