Mchango wa mawazo tafadhari! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchango wa mawazo tafadhari!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by samilakadunda, Oct 16, 2011.

 1. samilakadunda

  samilakadunda JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 1,701
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kunaathari gani ya kuchelewa kuoa au kuolewa,umri kuanzia miaka35?
   
 2. h

  hayaka JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  athari kubwa ni kuwa ukipata watoto badala wakuite baba/mama utaitwa babu/bibi. Na kwa mwanamke suala zima la kupata mtt litakuwa ni gumu.
   
 3. samilakadunda

  samilakadunda JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 1,701
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Nimekupata mkuu!
   
 4. R

  Robert kivuyo Member

  #4
  Oct 16, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inategemea,lakin kwa mwanamke iko shida kidogo,wanaume ni umri sahihi ila 2 uwe na uhakika wa maisha na mpangilio mzuri wa uzazi co unazaa dazen wa mwisho akuite babu.
   
 5. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #5
  Oct 16, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Athari zimetofautiana kati ya wanaume na wanawake....

  Mwanamke

  1. Kwanza tu kuolewa kama hujawahi olewa at that age kazi ipo.
  2. Uzazi kwa kweli unasumbua saana ukichelewa... imagine aolewe at age 35... mpaka ashike mimba azae maybe 37... Dah! huyo mtoto wa pili vipi at 40? hali wenzio hio age anaangalia suala la wajukuu...
  3. Mara nyingi wenzio wengi age hii wanakua tayari wapo kwenye ndoa... Hivo as much as kweli ni rafiki yao they don't consider you very close maana ham shey areas of interest.
  4. Pressure kutoka kwa wazazi na jamii kwa ujumla ambayo hupelekea usomwe vibaya.... Mfano: malaya, Mchambuzi saana hivo dharau na the like.
  Wanaume...

  1. Rafiki zako wa karibu waweza wapoteza for they do not trust you.. Mara nyingi for such a guy ina maana ni player...
  2. Pressure toka kwa ndugu wa karibu hasa wazazi ili uoe... na pia jamii kuanza kukuangalia kwa jicho la walakini hasa kama hua hawakuoni na mabinti...
  3. Saa ingine yaweza rudisha maendeleo nyuma... for ukiwa single you tend to have marafiki wengi... kujirusha bila mpangilio... Kuhonga too much and the like...
  Madhara kwa woote wawili...

  Maisha ya ndoa ni mpangilio... na tusidanganyane kua eti ndoa bila watoto katika jamii yetu hii mtaishi kwa furaha na amani ingawa kuna exceptions za hapa na pale... au nisema couple hii na ile. Ni vizuri saana kuzaa watoto mapema for it helps kuwasomesha hali mna nguvu za kutosha kiasi kwamba mpaka wanafika College they are more your friends than kuonekana kama vile almost wajukuu.... Ni vizuri saana kuwalea watoto kama marafiki and i have hio at first experience... for instead ya kusema binti yangu ningemzidi miaka 36/37 nimemzidi miaka 18... ina raha yake kwa kweli.....
   
 6. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #6
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Nimefurahi kwamba sababu karibu zote ulizozitaja zimebebwa na jamii............. Niliwahi kusema kwamba watu wengi wameoa au kuolewa kwa sababu ya jamii, yaani haikuwa ni utashi wao bali jamii ndiyo imewasukuma huko na ndio maana ndoa nyingi zimepogoka siku hizi.......
   
 7. samilakadunda

  samilakadunda JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 1,701
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Nimekupata ashadii,nadhana ujumbe unawafiki vizuri wahanga wote wate wanaojitakia na wasio jitakia. Nyongeza watoto wanaozaliwa huweza kuwa na disability.
   
Loading...