Natafuta mwanamke wa kunilea

Dr. Nsaji

Member
Aug 9, 2011
9
0
Natafuta Mwanamke wa kunilea kifedha na kimapenzi awe serious in love.Tuma private sms plz!
 
Patriote

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
1,718
1,046
Natafuta Mwanamke wa kunilea kifedha na kimapenzi awe serious in love.Tuma private sms plz!
We katafute kazi huo ubabaishaji uwezi pata heshima kama mwanaume kwa maisha hayo unayoyataka. hakuna true love katika huo utaratibu unaoutaka. Pambana kijana huo ubabaishaji, kama hujakua rudi kwa wazaz wako wakakulee upya hadi uweze kusimama kivyako.
 
Donpela

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
2,040
587
kwa ushauri.... nenda kaandike fesbuk ..utapata tu...wala usihofu
kwiiiikwiiiikwiiii
 
kichomiz

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
18,519
11,266
Natafuta Mwanamke wa kunilea kifedha na kimapenzi awe serious in love.Tuma private sms plz!

Bila shaka utakuwa msanii wa bongo fleva,maana mnapenda sana kubebwa,soon utakuwa shoga kwa kupenda vya bwerere.
 
KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,380
8,135
Mwenye virus vya nchi gani?/Kuna vya uganda,Tanzania it is same,vya south africa,vya westafrica,vyote vinashindana makali vya tanzania vimepoa kabisa na uganda,Sehemu zilizobaki vina tabia yakukugeuza aiba nakuwa msomali,mwethiopia chaghua nikupe contact tuka ku R.I.P
***** wewe unatafuta umaryoo na virusi vyote hivi????
 
nyuki dume

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
436
31
Natafuta Mwanamke wa kunilea kifedha na kimapenzi awe serious in love.Tuma private sms plz!
inaonekana unapenda starehe angalia kijana fanya kazi usije wakakupumlia kisogoni wengi wamiengia katika mchezo mchafu kwa ajili ya kupenda anasa wakati hawana uwezo
 
seseme

Member
Sep 27, 2011
30
2
sasa kijana xikiliza km mijihera hapa umefika we c unapenda starehe na kulelewa me ntakupa ofa ila kuna kitu k1 2 kwa ntakupa contact alafu iyo cku utatakiwa uvae suruali zip iwe nyuma au uvae nsuri me napatika@pemba,chanja njawili.
 
sweetlady

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
16,956
8,354
Natafuta Mwanamke wa kunilea kifedha na kimapenzi awe serious in love.Tuma private sms plz!
Mama ako alivyokulea haijatosha? Shame on you! Tuache kulea wanetu tukulee wewe? Fanya kazi kijana, acha kupenda vya bwerere! Vya bure vinaua yakhe!
 
Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
8,177
3,326
Natafuta Mwanamke wa kunilea kifedha na kimapenzi awe serious in love.Tuma private sms plz!
Hauwezi kuwa serious, yaani demu akulee kwa fedha na penzi! Mimi nijuavyo akina mam wengi huwatumia vijana kama sex machine tu tena ukibahatika ndiyo utapewa visenti! Lakini taabu yote ya nini kwani wewe ni mlemavu au ni uvivu wa kufanya kazi tu?
 
sweetlady

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
16,956
8,354
Upo sahihi kabisa mama yangu, hii ndiyo midume iliyoimbwa na JD!
Sante! Hana hata aibu, kijana mzima mungu kamjalia macho, mikono, na miguu anataka alelewe! Wameshindwa kumlea walomzaa, anataka alelewe na wamama wa wenzie, khaaa! Aende huko kwa waarabu atapata wa kumlea!..
 
Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,788
9,115
Mama ako alivyokulea haijatosha? Shame on you! Tuache kulea wanetu tukulee wewe? Fanya kazi kijana, acha kupenda vya bwerere! Vya bure vinaua yakhe!

heee! Vibaya hvyo. Hebu mwelekeze mpwapwa aje nimlee.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom