Ni sjhihi kuoana na mkiwa mnalingana umri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni sjhihi kuoana na mkiwa mnalingana umri

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Anthony peter, Oct 16, 2011.

 1. A

  Anthony peter Member

  #1
  Oct 16, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana jf hebu mnishauri kuna rafiki yangu wakike tunapenda sana kiasi kwamba moyo wangu umetua kwake cjamwambia lkn hana kipingamizi hata nikimwambi tatizo tunalingana umri je inaweza ikawa kikwazo?
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  hakuna ubaya ingawa mngepisha ingekuwa vizuri zaidi.
   
 3. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,472
  Likes Received: 578
  Trophy Points: 280
  Kwani tatizo ni nini? Mradi msiwe wote vijana sana yaani labda wote mna miaka 20 hivi maana mtasumbuana. Ndoa ina mitihani mingi mnaweza nkawa mnagombana mara kwa mara kwa kuwa hamjajua jinsi ya kujibizana, kukiri makosa na kusameheana. Kila mmoja atataka kuwa mshindi kila mnapokorofishana. Vinginevyo umri kulingana si tatizo. Mimi nawajua mke na mme ambao wote walizaliwa 1974 lakini wanaishi vizuri. Pia tanbua kuwa kuna ndoa ambazo mke ni mkubwa kuliko mme lakini maisha yanaenda.
   
 4. k

  kibali JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 315
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna tatizo kabisa
   
 5. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  umri ni namba tu,kikubwa ni mapenzi na utayari wenu tu
   
 6. Ligogoma

  Ligogoma JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2011
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 2,133
  Likes Received: 849
  Trophy Points: 280
  Ugomvi utakuja pale mwanamke awe mrefu kuliko wewe mwanaume then aje azae halafu anenepe na asiwe na mpango wa kubalance mwili utaipata mdogo wangu!!! Utaonekana kama umeoa `sukari-mama` na usipoikubali hiyo hali ndoa hakuna tena!!!
   
Loading...