Kama kuna wakati nimeomba ushauri nikiwa serious basi leo ni zaidi. Siku nyingi nimekuwa
nikitafuta mwenza wa kuishi naye katika maisha lakini imekuwa ni kazi ngumu kutokana na
sababu mbalimbali...
Hi natumai mu wazima!Hey plz woman don't get angry with me!Natumia mimi mwenyewe kama mfano;Nilizaliwa pamoja na ndugu zangu wawili hivyo tukawa wa3,wakati tukio linatokea mimi ndo nilikuwa mdogo...
Kuna hatua mbili kuu za marafiki kukumbia.
Tena wanaokukimbia ni wale marafiki wa jirani ulio waona kama ndugu.
Ukiwatangazia kuoa wanaonekana kwa nje kukuunga mkono, ukihitaji msaa wao...
​
Siku zote mapenzi huyapa maisha thamani lakini wapo ambao hujikuta kwa namna moja ama nyingine wanatengana na wapenzi wao kwa sababu tu ya mihangaiko ya kila siku yakujitafutia ridhiki...
Vigezo:
1. strictly chatting, we will never meet face to face
2. Christian, politician, computer geek, Man utd fan or IT Student /specialist itakua sifa ya ziada
3. Awe na age kati ya 19- 24...
Wajameni ninahitaji mke mwenye sifa zifuatazo:
Mwenye kujazia kwa chini ya kiuno
mwenyekujua maana mume ninini
mweupe
wa tanga na zanzizabar watapewa first chance
dini yyt ila...
Nimekuwa nikijiuliza ni kwa nini wanawake husalitiwa zaidi na mashoga zao kwenye uhusiano kuliko ilivyo kwa wanaume? Naamini kila mmoja ni shahidi kwa kutendwa, kusikia au kuona wanawake...
Me nmeoa nko na mke wa watto 3, lakini kuna demu anaishi jirani cc, chakushangaza uyo demu kila asbh cku za kz akawa anatym on the way, ikawa ni km kawaida jiran yangu nkawa nnam-pick almost miez...
Habari yenu watu wa Mungu ...
Natafuta mpango wa kando aka nyumba ndogo aka small house ...
Sifa
1. Awe ni Mwanamke
1. Awe Ameolewa na ameachika
1. Awe ameolewa na anajuta kuolewa
1. Kama...
Inaelezwa kwamba wake wa kwanza kwa wanaume wengi, ndio wanaochangia kwa kiasi kikubwa mafanikio ya wanaume hao. Na wake wa pili, yaani nyumba ndogo huletwa na mafanikio hayo yaliyoletwa na wake...
Huwa haitokei tu kama ndoto, bali kuna mahali inaanzia, ambapo kwa maana hiyo huwa kuna mabadiliko pia. Ingawa sio kweli kwamba mabadiliko yote ya namna hiyo yanaashiria safari hiyo, lakini bado...
Kamwe usikumbuke matatizo yaliyopita sababu yanaumiza na usiwaze yajayo sababu yanatia hofu
maisha ni hapo ulipo ,maazimio ni kilele cha maisha bora yajayo,
tazama mbele kwa kujiamini nyuma kwa...
Dont give up;
whatever situation your in.whatever challenges are;dont know god knows
just know every situation you pass is the way of god correction
aijalishi unamatatizo kiasi gani nakupa...
Naombeni ushauri wana jammii. Nimeishi na mwanaume wa kikurya kwa miaka saba sasa na tuna mtoto mmoa. Familia ya mwanaume huyu ni ya ajabu sijawahi kuona!Ndugu na wazazi wake ni watu wa ajabu...