Hili limekaaje wajamen?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Unakuta watu wakati mko wapenzi,mnapeana maneno mataamu,cku mkibreak mnatukanana matusi ya nguon?hii nimeishuhudia jana corner flan hvi.
 
Sas si uieleze ili tuijue then tupate idea ya kuchangia. In short umeniacha kwenye mabano
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom