Hey girl Hey girl ooh
Girl I just dey wonder
I still dey wonder
Make you take me as I am
I just dey wonder
VERSE 1
See e get this girl for my hood
Understanding I wish I could
Treating me this...
Ukimnyoshea mtu mkono kumpiga unaweza ukaurudisha angani au kuukwepesha usimpige au usimpate. Hata hivyo ukilitoa neno ambalo hukulimaanisha na likampata mwenzio huwezi na hauna jinsi ya...
Shikamoon wote!!ebana,juzi kati nilileta thread hapa nkielezea matatzo yangu na my gal,kwamba hapokei cmu wala kujbu txts zangu,nikapewa ushauri na wadau wa nin cha kufanya ktk kipindi kile...
"With You"
[x2]
I need you boo, (oh)
I gotta see you boo (hey)
And the hearts all over the world tonight,
Said the hearts all over the world tonight
[Verse 1]
Hey! Little mama,
Ooh, you're a...
Yani unakuta demu umemtongoza tu hata wiki bado,mara anaanza kuomba vocha,mara hela ya kusuka,jamani yani ndio umenikubalia tu na hayo ndo yanaanza? Hii ikoje jamani?
Jaman leo hii na mda huu ninaoandka hii thread ni kama dakika 20 hv zmepita nimetoka kukutana na mdada m1 hv hapa m.city cmjui wala hanijui nkamfuata na kupga nae story sana tu nkamchekesha sana...
Sababu za Kusaliti Pendo
*Kutopata mapenzi ya kweli hasa ikiwa Kijana/Binti alilazimishwa kuoa/kuolewa na mtu ambaye hakumpenda for the sake of Radhi ya Wazazi, maadili, kuhofia umri n.k...
Sometimes its hard to contain ourselves but
do we ever ask ourselves -Why shout???
A psychology professor was teaching his
students. He asked his
students, "Why do we shout in anger? Why do...
Jamani Wazanzibari hata kama mnavunja muungano basi isiwe kwa shari msije tupeperushia njiwa wetu ati. Wengine sie shemeji zenu. Hala hala kidole na macho. Natumai kujamiiana (socialization)...
habari zenu...wikend hii nipo mpweke sana hivyo natafuta company ya dada amabaye ataambatana nami beach tukapunge upepo
everything on me yeye awe na vifuatavyo
23-27 yrs
tall not less than 170cm...
Jirani yangu aliondoka juzi usiku akamuaga mkewe kuwa anaenda bar kuzuga. Hakurudi, akipigiwa simu zilikuwa zinasikika sauti za walevi, wake kwa waume. Mwisho simu ikawa haipatikani kabisa.
Leo...
Nipo katika mkoa wa kilimanjaro,nilikuwa najipatia msosi mahali moshi town, nikawa nimekaa meza moja na jamaa ghafla akaongezeka mama(around 30's).kumbe alikuwa mgen wa jamaa. Maongezi yao:
jamaa...
AISEE WANA JF, NATANGAZA KUTAFUTA THE DESPARATE HOUSEWIVES WHO ARE STRONG, BRAVE, OUTSPOKEN AND COURAGEOUS. MANY WILL BE SURPISE TO ASK WHY THE DESPARATE HOUSEWIVES. I AM REGARDING...
Wapwaz na binamz !
Leo imetimia miaka 10 tangu mpendwa baba yetu Mzee Paul Joune Sadiki alipoitwa na bwana tarehe 10 Novemba 2001!
Tunamshukuru Mungu kwa maisha yake na kazi kubwa aliyoifanya ya...
Hello wachumba, walimbwende, warembo, mkaza mme, chakula ya muzee, mnao tuvumilia kila siku, poleeeni na dunia hadaa, ukicheza vibaya dunia balaa, cheza vizuri mpate mwanaume mzuri kwa maisha...
Ni msela wangu wa karibu sana, anakaribia kufunga pingu za maisha very soon na mchumba wake, lets say R,
Jamaa alikuwa na Mahusiano na binti Flani hv lets say Q,
jamaa kamwambia live Q juu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.