Kwa nini kabila la Wakurya bado wana mila za kizamani za kuwachagulia watoto wao wake/waume? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini kabila la Wakurya bado wana mila za kizamani za kuwachagulia watoto wao wake/waume?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by WALIMWEUSI, Nov 10, 2011.

 1. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Naombeni ushauri wana jammii. Nimeishi na mwanaume wa kikurya kwa miaka saba sasa na tuna mtoto mmoa. Familia ya mwanaume huyu ni ya ajabu sijawahi kuona!Ndugu na wazazi wake ni watu wa ajabu kiasi kwamba nashindwa kuelezea!Kilichonisikitisha ni kitendo cha kuzuia harusi iliyokuwa ifanyike mwisho wa mwaka huu, sababu eti kwanza mie msomi, pili kijana wao akinioa (sio mkurya mwenzie) basi wao watampoteza mtoto wao na hawatapata tena msaada toka kwake. Jamani hebi nipeni mawazo yenu, nifanyeje?
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Duh!!me najipitia zangu tu.
   
 3. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mmh! nakuombea dada angu hakuna linaloshindikana kwa maombi!!
   
 4. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #4
  Nov 10, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Ikishindikana ng'oa figa weka kitandani kwa mama mkwe hapo umewaweza hawakufukuzi ng'o. Mi mkurya najua mila na desturi zetu. Ila hao bado wako nyuma ya wakati maana siku hizi hayo mambo yamepungua sana ukuriani.
   
 5. R

  Rangi 2 Senior Member

  #5
  Nov 10, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sikubaliani nawe kwani hayo unayoyasema ume-generalize tu.
   
 6. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #6
  Nov 10, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Huo ni mfano hai ulonitokea mimi, nina mifano ya watu watano pia yamewatokea kama hayo!! To be honest, hili kabila bado linahitaji elimu! Angalia mfano wa female genital mutilation, bado wanapractice hayo mambo! Kweli nawaambia huyu mama mkwe mngepata kumuona physically I swear ungemchapa viboko! :hatari:
   
 7. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #7
  Nov 10, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Ha ha ha, mama mkwe hana shukurani hata chembe!! Wiki moja kabla hajaleta hizo habari, nimemtumia Laki mbili amalize matatizo yake madogo madogo!Ntang'oa figa niweke kitanda na bado atantafia majambazi wani geche! Ha ha ha!
   
 8. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #8
  Nov 10, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  They look like this........usually.....this is my own inlaw

  [​IMG]
   
 9. S

  Skillionare JF-Expert Member

  #9
  Nov 10, 2011
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Ndio mchunguzane kabla sasa
   
 10. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #10
  Nov 10, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Thanks anyway
   
 11. T

  Tata JF-Expert Member

  #11
  Nov 10, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,741
  Likes Received: 661
  Trophy Points: 280
  Hii tabia ya kuongelea kabila zima wakati tatizo ni la familia ya mme wako halikubaliki. Huu ni unyanyapaa au "stereotyping" kwa lugha ya wale wafadhili mashoga. Swali sahih lingekuwa "hivi kwa nini familia ya mme wangu wana mila za kizamani hivi"?
   
 12. K

  Kindimbajuu JF-Expert Member

  #12
  Nov 10, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 711
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  hizo ni mila zao, ni utamaduni wao. na wao wanakushangaa wewe kwanini unataka kuolewa na "mkurya"?
  wao wakiacha hizo mila manake kabila la wakurya litakuwa limepotea. tunawaita wakurya si yo kwasababu ni wakurya bali kwasababu ya identity yao, na moja ya identity yao ni hayo unayoyaona toka kwa hao wakwe zako.

  tunnaposema tuwe makini kuchagua wenza wetu, hatumaanishi ukabila, tunamaanisha ku zuia vitu kama hivyo ambavyo kwa bahati mbaya vinatokea kwako leo
   
 13. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #13
  Nov 10, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
   
 14. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #14
  Nov 10, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Kwa karne hii ya 21 sidhani kama bao tunatakiwa kukumbatia mila na destury za aina hii, sio kwa wakrya tu hata kwa makabila mengine. Hata sisi pia makabila yetu yalikuwa na mila za aina hiyo ila kwa sasa wanajamii wameelimika na wameshachana na mila hizo.

  Kwa mtindo huu, familia hii haitajikomboa kutoka katika utumwa wa fikra potofu na maendeleo kwao utakuwa ni msamiati kizazi hadi kizazi.
   
 15. T

  Tata JF-Expert Member

  #15
  Nov 10, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,741
  Likes Received: 661
  Trophy Points: 280
  Well at least umekuja na statistics kidogo. Kwa hiyo ukichukua wewe jumlisha hao wengine watano mnakuwa jumla watu sita. Sasa kama kweli uko objective unaweza kutumia mfano wa watu sita kuhukumu kabila zima lenye idadi ya watu takriban laki tano? Je kuna kabila nchi hii ambalo limeshiba elimu na halihitaji kabisa? Kwa taarifa yako female genital mutilation ni tatizo la makabila mengi tu hapa nchini we fanya utafiti mdogo tu utapata majibu.
   
 16. T

  Tata JF-Expert Member

  #16
  Nov 10, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,741
  Likes Received: 661
  Trophy Points: 280
   
 17. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #17
  Nov 10, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
   
 18. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #18
  Nov 10, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,669
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  wewe siyo mukurya,nyakebhono,unatuharibia mila zetu urumurisya/oghosaghane.
   
 19. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #19
  Nov 10, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,669
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  thanks ! Mkuu..kwani si ukaolewe na mchagga mwenzio? Na jf trust me,huyu dada ni mchagga tu,wakurya na wachaga ni vitu viwili tofauti sana linapokuja suala la ndoa.
   
 20. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #20
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,828
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  Umurisya ono omokangi sana mura yani no obhokangi akogamba hao..wivu tu..kurya the great tribe we are proud of being kuryans..asietupenda ajinyonge...
   
Loading...