Kwa nini ukioa marafiki wanakukimbia?

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
1,282
247
Kuna hatua mbili kuu za marafiki kukumbia.
Tena wanaokukimbia ni wale marafiki wa jirani ulio waona kama ndugu.
Ukiwatangazia kuoa wanaonekana kwa nje kukuunga mkono, ukihitaji msaa wao wanakupotezea na simu zako hwapokei wala meseji jawajibu.

Ngwe ya pili ukisha oa, utaona namba ya marafiki ikizidi kupungua.
Washikaji , kama ndoa ni baraka kwa nini tukimbiane?

Siji bar mara kwa mara , lakini njooni home, tunywe na tufurahi kama zamani.
Tuache noma
 
Kaka ukishaoa jamaa wanajua hutaweza kuwa nao tena, maana utakuwa kwenye majukumu, so ishu kama kukesha nao bar hutaweza tena.
 
wanawake wa cku izi wamewateka sana waume zao pale ndo inapokuwa mbichi sa washkaji huwa hawataki ukaribu ili wasiwe chanzo cha ndoa kuvunjika. Huo ndo mtazamo wangu.
 
wanawake wa cku izi wamewateka sana waume zao pale ndo inapokuwa mbichi sa washkaji huwa hawataki ukaribu ili wasiwe chanzo cha ndoa kuvunjika. Huo ndo mtazamo wangu.

marafiki na ma wifi, wepi wavunjao ndoa?
 
Kweli umenena bamdogo. hata ndugu zako inakuwa si kama vile zamani. Maisha ni kurekebishana and no one is perfect.
 
Mkuu sio kwamba wanakukimbia, wanakupa nafasi ya kujenga ndoa yako.

Kwahio siku moja moja inabidi uweke mda wa kuwatafuta hili ujiunge nao. Usisubiri wakutafute, ni waungwana wao hawataki kukusumbua kwenye ndoa yako.

Sio rahisi kutumia mda ule ule na marafiki zako baada ya ndoa.
 
well said mkuu halafu kingine ni kwamba utakuta wife pozi zake ni za kuto hitaji ukaribu na mashemeji zake kuchukia unapokuwa umetembelewa maana anajua utatoka na huyo jamaa yako
Mkuu sio kwamba wanakukimbia, wanakupa nafasi ya kujenga ndoa yako.

Kwahio siku moja moja inabidi uweke mda wa kuwatafuta hili ujiunge nao. Usisubiri wakutafute, ni waungwana wao hawataki kukusumbua kwenye ndoa yako.

Sio rahisi kutumia mda ule ule na marafiki zako baada ya ndoa.
 
Nibora wakiwa hamuonani mara kwa mara kumbuka kua ukishaoa unakua mwenye majukumu mengi, tulia na mkeo kwa muda na usipende kuleta marafiki nyumbani wasije kukuchukulia bure ukaanza kulia.
 
hao marafiki walio kukimbia walikuchangia? Kama hawakuchanga huenda wanaona aibu kuku face
 
Kuna hatua mbili kuu za marafiki kukumbia.
Tena wanaokukimbia ni wale marafiki wa jirani ulio waona kama ndugu.
Ukiwatangazia kuoa wanaonekana kwa nje kukuunga mkono, ukihitaji msaa wao wanakupotezea na simu zako hwapokei wala meseji jawajibu.

Ngwe ya pili ukisha oa, utaona namba ya marafiki ikizidi kupungua.
Washikaji , kama ndoa ni baraka kwa nini tukimbiane?

Siji bar mara kwa mara , lakini njooni home, tunywe na tufurahi kama zamani.
hapa anaelalamika ni mwanaume! Je mkeo kama alikuwa na marafiki weng wa kiume na wakike siku awakaribishe waje kunywa hapo nyumbani utajisikia je?
 
wee vipi tena ndo shukuru,kama tulikuwa tuna keshaaa bar hadii saa tisa, saa kumi usiku,we umeowaa.hatuwezi kulaa good time tena kama ulivyo kuwa single.so automatic cm msg zitapunguaa
 
Umefulia tu mkuu ndo sababu, ukiwa na hela marafiki ni guarantee , popote na katika hali yoyote.
usibishe
 
Back
Top Bottom