Wadau,kuna gal flani hvi nasoma nae{ni rafiki wa kawaida tu}nlimkopesha pesa ka elfu 80 hv,bt cha kushangaza umeisha pita mwaka hajanilipa hata sent na leo asubuh kanitumia txt akiniomba ka niko...
Muhali gani mabibi na mabwana!Mie mzima wa mwili ila mgonjwa kifkra.Nilibahatika kupata elimu mpaka ya chuo kikuu,niliajiriwa ila niliacha kazi kutokana na matatizo ya kifamilia yalonitaka kurudi...
Kuna kabinti kamoja nimetokea kukapenda..!, but nilipomweleza akanitolea nje.! Na kusema eti kana mchumba tayari, jamani wana jamvi naombeni msaada wenu nimwambie vp? Ili anielewe huyu dent maana...
MWANAMKE mwenye umri wa miaka 60, mkazi wa Kibaoni mjini hapa, amewavunja mbavu wasikilizaji wa kesi katika Mahakama ya Mwanzo Ipembe, baada ya kumjibu Hakimu kuwa kijana aliyemfikisha mahakamani...
Mchumba ni mtu uliemteuwa awe mwanandowa wako katika maisha yako ya baadae,katika uteuzi wa mchumba wahusika wengi wasiku hizi hufanya pupa hatimae hukosa uangalifu wa kuweza kugundua ni nani...
Kijana wa kiume unapofikia age ya kuoa,mama na kina dada wanaanza kukupa wosia kuhusu mtu wa kuoa. Mbona madingi huwa wanauchuna? Nipo kwenye hiyo age,siku moja nilikuwa nastorika na mama...
Hapana sio pdidy bana
nshazeeka sasa natunza familia ..nimesikia mtangazaji mmoja wa clouds fm
arnold kayanda kipindi cha jahazi akisema pamoja na serikali kukaa kimya
kuhusu yale madude yetu...
Hapa nazungumzia zile ndoa zenye vurugu, maana naona Wa-Beijing wanataka kunishukia kama Mwewe awindapo vifaranga.
Kwa wale wanawake wanaoishi kwenye zile ndoa zenye vurugu zisizoisha, ambapo...
Ebu tuelimishane.
Kwa muda mfupi niliojiunga JF nimekua nikisoma sana post za love connect na responses mbali mbali zinazotolewa na members and I must say am deeply dissapointed.
Naona hii ni...
Katika hali ya kustaajabisha, Mzee mmoja hapa kijijini kwetu amemkuta binti shambani kwake akikata kuni juu ya mti.Nisme alikua anaiba kuni. Mzee alimtokea kwa kumvizia na wengi tulikua tunaomba...
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza je, baada ya kupata mimba bado mtu anaweza kuendelea kufanya mapenzi? Ni salama? Halafu huwa inakuwaje? Wataalamu wanasema mtu anaweza kuendelea kula uroda pamoja...
Miongoni mwetu kuna wenzetu ambao kutokana na malezi, wanapokuja kupata umaarufu na fedha, wanakuwa kama nusu vichaa au vichaa kamili. Wanapopata umaarufu kidogo au wanapofuma fedha kutokana na...
Ni rafiki yangu toka o'level, hatujawahi kwaruzana wala kupishana kauli. Kwa kipindi chote nimejitahidi kumuonesha kwa vitendo kwamba namjali na kumpenda. Miaka imepita tukiwa marafiki na nimeweza...
Watu wengi sana ambao hawajaoa au kuolewa huwa wanafikiria zaidi kuhusu kumpata mtu anayefaa. Wanawake ndio wako kwenye kifungo hiki zaidi. Jamii imewaambia kwamba, umri unavyoongezeka na nafasi...
MWANAMKE mwenye umri wa miaka 60, mkazi wa Kibaoni mjini hapa, amewavunja mbavu wasikilizaji wa kesi katika Mahakama ya Mwanzo Ipembe, baada ya kumjibu Hakimu kuwa kijana aliyemfikisha mahakamani...
Je! Unaamini ya kuwa Mungu anaweza kusema na watu kwa njia ya ndoto? Najua ni rahisi kuamini kuwa Mungu alisema na watu zamani kwa njia ya ndoto kama tunavyosoma katika Biblia; lakini je! Unaamini...
MWANAMKE mwenye umri wa miaka 60, mkazi wa Kibaoni mjini hapa, amewavunja mbavu wasikilizaji wa kesi katika Mahakama ya Mwanzo Ipembe, baada ya kumjibu Hakimu kuwa kijana aliyemfikisha...
Siku chache zilizopita niliaweka post yangu kuwa mke wangu habebeki,nashukuru wachangiaji mbali mbali na inbox mlizokuwa mnanitumia nimesoma comments zote zaidi 126,nashukuru sana.
Kama...
Ndugu zangu,usiku huu wa manane nimekosa usingizi kabisa cuz of ths lady who is seriously driving me craizy,nakiri ni kweli nilimkosea,nikajutia kosa langu bt suprisingly,she is stil mad to...
jamani inasikitisha na ni kwani ukubali kufunga ndoa kama inaweza kudumu kwa siku mbili tu na sio maisha.
wana mmu ndoa imefungwa jmosi trh 5/11 na imevunjika trh 6/11 jpili wakiwa kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.