Ninatafut mke!!!!!!!!

hargeisa

JF-Expert Member
Jun 19, 2011
549
41
Wajameni ninahitaji mke mwenye sifa zifuatazo:
Mwenye kujazia kwa chini ya kiuno
mwenyekujua maana mume ninini
mweupe
wa tanga na zanzizabar watapewa first chance
dini yyt ila tu sio freemason
 

arabianfalcon

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
2,291
583
Wajameni ninahitaji mke mwenye sifa zifuatazo:
Mwenye kujazia kwa chini ya kiuno
mwenyekujua maana mume ninini
mweupe
wa tanga na zanzizabar watapewa first chance
dini yyt ila tu sio freemason

Sifa za unaemtaka ushasema je wewe unahisi sio lazima ajue sifa ulizonazo?
 

AMINATA 9

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
2,128
640
Wajameni ninahitaji mke mwenye sifa zifuatazo:
Mwenye kujazia kwa chini ya kiuno
mwenyekujua maana mume ninini
mweupe
wa tanga na zanzizabar watapewa first chance
dini yyt ila tu sio freemason
hahaaaaaaaaaaaaa sasa hujui ww hao ndio wazur kinoma yani
 

Chipukizi

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
3,261
4,010
Kaka mauno ya kitanga yanakuacha hoi? Haya all the best ujaliwe pata mke mkeo[QUOTE:
mweupe
wa tanga na zanzizabar watapewa first chance
dini yyt ila tu sio freemason[/QUOTE]
 

hargeisa

JF-Expert Member
Jun 19, 2011
549
41
Kitendo cha kuwa katika jumuia hiyo tu inamuondolea sifa kwangu
vp na unahudhuria katika hall yao pale ubalozi wa zb
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom