Misemo ya chombeza time

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,433
18,153
Ongezea misemo mengine inayohusiana na mapenzi........

usitembee peku peku unaweza ukachukua mbegu.
utamu tunao tatizo utelezi tu.
kicheche siku zote anajua kusearch kama google.
Ukimpata wa kukupenda bembea naye.
nifuate nikupe penzi la maisha.
Nimevumilia sana heri kigeugeu.
Matonya wa penzi mfadhili wake ngoma.
Utamu wa keki kulishana.
 

May Be

Member
Sep 5, 2011
42
13
Excellent hahahahhahahhaa nimependa hiyo ya utamu tunao tatizo utelezi.
wait nakuja na yangu
 
1 Reactions
Reply
Top Bottom