Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Naitwa dick masomoni ddm,natft rafiki wa kike mwenye heshima na mcha mungu.awe na sifa zifuawazo! 1.umri 22-26 2.elimu f4 na kuendelea 3.mkristo 4mweupe/majikunde na asiwe mnene sana.p/se...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani kisa hiki kimemkuta dada mmoja aliyeko ughaibuni, naomba tukisome na kukielewa. Leo yeye, kesho wewe. mimi nilisha wahi kuwa na boyfriend ambaye alinitoa usichana wangu,kweli yule...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Kama kuna wakati mgumu wakati mwingine kwa wanandoa wapya ni kuchelewa kupata mtoto. Wakati mwingine watu wanaamua kwa makusudi kutopata mtoto mara moja huku wakijitahidi kujipanga vizuri. Mgogoro...
2 Reactions
46 Replies
8K Views
wadau kunamdau aliwahi kupost kuwa alikuwa amempata mpenzi wake na alipodoo naye aligundua kuwa yule mwenzake hana joto yaani ni wabaridi but kuna baadhi ya watu walipost kwa kujokes bt swala hili...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Yaaani umeomba ki date na mwanamke akafika na shosti yake, mkala misosi, mkanywa, ukalipa bili. Baada ya hapo inaingia sms, "ninataka kumkimbia kimeo huyu", mwanamke alikuwa anamtumia shosti wake...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Nimeamua kuanza kuandika series za aina mbali mbali ya jamii kama vile, syansi, elimu, mila na makabila mbalimbali yaliyopo tanzania. Hata hivyo naomba wanajf mniruhusu kufanya hivyo. Nikipata...
2 Reactions
44 Replies
4K Views
Habari za wakat huu watanzania wenzangu!!!ebana,niliwahi kuwa na galfrd wangu tangu tukiwa primary bt mwaka jana mwezi wa 7 alinipga kibuti kwa kisingzio cha kwamba ,eti me ni kicheche{kitu...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
nimesikia mtu akisema kuwa mabasi yanayotoka mikoani kwenda dar,yameanza kupitia barabara ya bagamoyo,je ni kweli?mwenye taarifa atujulishe
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu, Nadhani itabid Tupeane Mawazo/Techniques za kuwatuliza hawa Viumbe especially wanapokuwa wame Panic au wana hasira Juu yetu, you can face this katika matukio tofauti tofauti, i think its...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
nimeshindwa kuvumilia Vituko na MAJINA NAYOPEWA kama NYOKA WA KIBISA,Sasa NAFANYA KWELI..... NIKITOTOA NAE TU NAWEKA PICHA. huyo wife wa jamaa si mchezo leo mudda si mmrefu amekja kuazima...
0 Reactions
67 Replies
7K Views
Tafiti zisizorasmi zinaonyesha hiki ni kipindi wanawake wanatongozeka kirahisi tofauti na wakati mwingine katika mwaka,so badboys na alpha man wote mliosingle huu ndio msimu wenyewe si...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
@arachaga, baba mngoni,mama mchagga inabidi uanzie mbali na kimafumbo kumkosoa mpenzi wako kwa mambo ya chumbani na hasa kitandani ila kuendelea kikaa kimya wakati unapunjwa ni upuuzi pia...
4 Reactions
68 Replies
6K Views
Napenda kuwashukuru sana wadau wote walio changia mada yangu na wale ambao hawakubahatika kuchangia mnamo mwezi AGOSTI, ushauri wenu na mawazo yenu niliyazingatia na kuyafanyia kazi kwa ipasavyo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Samahani wadau, ningependa kujua ni nini hasa faida ya kuwa na nyumba ndogo? Binafsi naona kama nyumba ndogo ni resource consuming in terms of muda na pesa, pia zina inconviniences nyingi kwenye...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Jamani wana jamvi habari zenu dada zangu. pamoja wale kaka zangu ambao mmeingia hapa kwa bahati mbaya. Leo nimeona nishirikiane na ninyi kuhusu jinsi ambavyo naweza kumconnect mtu (lady) kupata a...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
natafta mchumba wa kuowa awe mke wng zaid awe muislam kuanzia 18yrs-45yrs phone 0773 584154
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hivi inawezekana kwa "Wapenzi" Kuachana wakiwa bado Wanapendana? na Je ni kwanini Watu hutumia "Imani za Kishirikina" kwenye Mapenzi?!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Matiti ni Mali ya nani? Matiti ni chakula cha mtoto!Linapokuja suala la matiti wanaume wengi (si wote) hunyang'anyana hati miliki ya matiti na watoto wanaonyonya hata hivyo wanawake nao kila...
0 Reactions
33 Replies
20K Views
Now I appreciate wholeheartedly when a woman say "I'm going to have my hair did"*. To keep clean, health and strong hair takes time and effort. Of all the features of a lady beside "those" others...
10 Reactions
92 Replies
9K Views
A parable is told of a farmer who owned an old mule. The mule fell into the farmer's well. The farmer heard the mule 'braying' -- or whatever mules do when they fall into wells. After...
0 Reactions
0 Replies
759 Views
Back
Top Bottom