Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Unakuta umempakiza demu kwenye gari akishuka anasahau either kibanio cha nywele, hereni au kakitu kokote ili ili mradi azue tafrani.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Assalam aleukum ndugu zangu,nina jambo moja nataka kuliweka hapa japo tusaidiane katika hili!nimekutana na dada mmoja bahati nzuri nakaa nae mtaa mmoja nikatokea kumpenda sana ila cha ajabu huyu...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Sixty-eight percent of the senior executives interviewed said they had neglected their family lives to pursue professional goals..
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za jumamosi waungwana wenzangu,nafikiri wote mko safi mnaendelea na shughuli za kila siku,jana nilikwenda bar kufurahisha macho kidogo na kupiga stori na wabongo wenzangu,basi kuingia...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
“Sitaki kabisa kukuona na wale wanawake. Utakuwaje na urafiki na Malaya wale. Sasa hivi watakuuza kirahisi kabisa. Ukitaka kuifanya ndoa yetu ianze vurugu, endelea kuwa na urafiki nao. Wanawake...
5 Reactions
105 Replies
10K Views
Wanajamii!!!!! Vipi Mambo? Nami natafuta mke God willing Nina miaka 38, Gifted by God Namtafuta Lioness hapa MMU. A seedfull woman to marry. Umri kuanzia miaka 30-40 Kama una mtoto ooppsss...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana JF Russian Roulette is one of the Mods ambae yupo saana nasi hapa jamvini katika mijadala mbali mbali as much as anatu-moderate na hata kumoderate threads. Hio imefanya awe na members wengi...
21 Reactions
99 Replies
11K Views
Nimesoma hii habari toka wanawakenisisi blog nikaona si mbaya na nyie mkacheka kidogo. Limbwata.... Huyu ndo...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Kuna mfanyakazi mwenzangu anataka kumwoa binti ambaye wamedumu ktk uhusiano mwaka mmoja na nusu, tatizo ni background ya binti huyo,.kwani kipindi jamaa anaanza uhusiano naye iligundulika kuwa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Have you visited me ? Kids Fun Spots, Shopping areas, Movies, Bar and Lounge, Supermarket etc etc.. Click on the Like button to join the fan page and share with friends and family ;-) Here is...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habari za jioni wana jf,poleni na mishughuliko na pilika pilika za hapa na pale za kutaka kujikwamua kiuchumi huku wakubwa wakiwa bado wamekaba hadi penalty.Kwa wana jf waliopo tanga wote naomba...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Ninachokisema hapa ni serious na naomba comments also seriously! Nina mpenzi wangu nampenda kw dhati, kadhalika kiasi flani nashawishika kuamini nae ananipenda kufatana na mambo flaniflani...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
hivi kweli kuna mahusiano ambayo yana uaminifu 100% jamani? namaanisha watu wanaanza mahusiano, wanaoana na kufa bila kusalitiana? kama yapo ni kwa asilimia ngapi? na tafadhari hebu nipeni siri...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Mimi ni mwanamme mwenye miaka takriban 40 pia nina mke na watoto. Kweli nimepata ka sub house ni kazuri sana na kananipenda pia. Shida yake ni kwenye kutiana yani kanataka bao 3 na kuendelea...
0 Reactions
78 Replies
7K Views
Natafuta mpenzi mwenye sifa zifuatazo,mwanaume mwenye elimu kuanzia seco na kuendelea,awe na kazi,awe na tatizo la kukojoa kitandani bila kukusudia(kikojozi)anikubali na mapenzi ya dhati bila...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wapendwa wana jamvi la MMU, Siku ya J3, nilisema kuwa kuna matukio 2 niliyokutana nayo week hii ambayo kwa kweli yamenigusa sana. Tukio la kwanza ni hadithi ya yule bibi kizee wa miaka zaidi ya...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi ni binti wa miaka 27, sijawahi kutembea na mwanaume, i have now got a man, ambaye naona we can make a family na tunategemea kufunga harusi mwakani, ila nimegundua kwamba hata huyu mwanaume...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Wapendwa wana jf hivi hii hali ya kwenda mwendo mrefu niwapo faragha na kiburudisho ni ya kawaida kweli?maana utakuta mzunguko mmoja naenda hata nusu saa nzima!mnijuze wadau.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
ni mwaka umepita tangu aje kwangu na kunambia ananipenda sana,na kuniahidi mapenzi yake yote baada ya kuachana na aliyekuwa wake wa ubani ,lakini juzi nampigia simu ananiambia amerudiana na...
2 Reactions
67 Replies
5K Views
Habari za sunday wana mmu? Ni hivi leo shemeji yangu yaani mke wa jamaangu kaja akilalamika kuwa mme wake katembea na mtoto wa kaka yake aliyekuja kuwatembelea baada ya kuhitimu kidato cha...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Back
Top Bottom