@@@! Natafuta "Nyumba Ndogo" !@@@ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

@@@! Natafuta "Nyumba Ndogo" !@@@

Discussion in 'Love Connect' started by Obuntu, Nov 3, 2011.

 1. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Habari yenu watu wa Mungu ...

  Natafuta mpango wa kando aka nyumba ndogo aka small house ...

  Sifa

  1. Awe ni Mwanamke
  1. Awe Ameolewa na ameachika
  1. Awe ameolewa na anajuta kuolewa
  1. Kama hajaolewa awe na "mpango" wa kutokuolewa

  PAW - hii usipeleke jukwa la Maria Roza wala funzadume pse...
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,829
  Trophy Points: 280
  Skulmeti bana!


  oups sorry mwandiko wako nimeufananisha na mwandiko wa skulimeti wangu.:photo:
   
 3. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Ok - inampendeza Mungu - but

  :hand::hand:........."Hodi" ya chooni haiitikiwi "karibu"................:israel::israel::israel:
   
 4. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mie nimeachika lakini sijuti kuolewa kwahio nimekukosa haya tusubiri wengine.
   
 5. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Kama unatafuta nyumba ndogo, ni dhahiri kwamba nyumba kubwa tayari unayo. Je imekuboa nini? Au na yenyewe imeshatafuta small house hivyo unataka kulipiza??
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  Nov 3, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  kumbe wewe ni she!!
   
 7. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #7
  Nov 3, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Husninyo - nini tena?
   
 8. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #8
  Nov 3, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Nyumba kubwa haijaniboa - bali - naitafutia msaidizi
   
 9. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #9
  Nov 3, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kigezo kimoja kinatosha ku-qualify ndiyo maana vyot vipo labelled (1.)
   
 10. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #10
  Nov 3, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  Hiyo kubwa umeiweza hadi uamue kuongeza matatizo.
   
 11. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #11
  Nov 3, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mmmmhhhh mabwaku..
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Nov 3, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  naanza kujuta kwa kweli......
   
 13. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #13
  Nov 4, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  nazichukia nyumba ndogo kama ukoma
   
 14. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #14
  Nov 4, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  -So SAD-
   
 15. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #15
  Nov 4, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Boss ile kitu ulitoa siku ile, IMPACT yake ni kubwa saana hasa in the long run, na hasa kwa wanaume ambao bado ni wavulana. Nimenotice one thing about this crazy topic, yawezekana kabisa majority ya washadadiaji hata hawaendekezi hayo mambo kuliko walo kimya AU wanaoshabikia ili waonekane wao ni wanaume pia kama hao wanaoshadadia.... Sasa tatizo ndo linakuja hapo... Will they be responsible cheaters?? Will they know why they cheat?? Wanajua mziki unao husisha kua na nyumba ndogo?? na nini hasa kinawafanya wafikiri they will be more happy... kama nilivosema hapo juu.... Sad.
   
 16. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #16
  Nov 4, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  watu wanasahau siku ile ilkuwa nyerere day asubuhi....siku ya kufurahi na kuchangamshana hivi...
  nimegeuka 'mtume' naona sasa...hadi nachukia...
   
 17. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #17
  Nov 4, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Nyumba ya udongo au tofali? Ya mabati au majani?? Oohppss kumbe ni mpango wa kando sory napita tu hapa
   
 18. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #18
  Nov 4, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Boss sijawahi kukuona unatoa such a lame excuse.....lol
   
 19. Z

  Zege Halilal ZH Member

  #19
  Nov 4, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nyumba ndgo nnayo ina vyumba viwil na choo cha kulenga ipo tandale kwa mtogole...unatka kununua au kupanga?
   
 20. zakiyah

  zakiyah JF-Expert Member

  #20
  Nov 6, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 284
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  nyumba ndogo gharama sana ndugu ujipange kweli!
   
Loading...