Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,945 Reaction score 4,506 Nov 14, 2011 #1 Self bei yake Tsh.6000/= kwa usiku mmoja Single bei yake Tsh.3000/= kwa usiku mmoja
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,970 Reaction score 13,427 Nov 14, 2011 #2 imetulia kweli,big up kwa mwenye hiyo guest house.Nalog off
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,589 Nov 14, 2011 #3 kwani hili jukwaa gani la FD nini au ni wapi..
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,945 Reaction score 4,506 Nov 14, 2011 Thread starter #4 ndetichia said: kwani hili jukwaa gani la FD nini au ni wapi.. Click to expand... Nawashtua washkaji ambao hatulali Guest zinazo zidi bei ya buku ten
ndetichia said: kwani hili jukwaa gani la FD nini au ni wapi.. Click to expand... Nawashtua washkaji ambao hatulali Guest zinazo zidi bei ya buku ten
Dena Amsi R I P Joined Aug 17, 2010 Posts 13,080 Reaction score 4,276 Nov 14, 2011 #5 Fidel bana nenda hotel achana na mambo ya guest house
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,945 Reaction score 4,506 Nov 14, 2011 Thread starter #6 Dena Amsi said: Fidel bana nenda hotel achana na mambo ya guest house Click to expand... Hotel ghalama alafu nina wapenzi wengi si nitakuwa nawekeza hotelini sasa bora guest house bei chee na tunda unafaidi
Dena Amsi said: Fidel bana nenda hotel achana na mambo ya guest house Click to expand... Hotel ghalama alafu nina wapenzi wengi si nitakuwa nawekeza hotelini sasa bora guest house bei chee na tunda unafaidi
Gaijin JF-Expert Member Joined Aug 21, 2007 Posts 11,812 Reaction score 5,303 Nov 14, 2011 #7 Sasa unaokoka kabla au baada ya shughuli ya elfu 6?
Sordo JF-Expert Member Joined Nov 14, 2011 Posts 396 Reaction score 122 Nov 14, 2011 #8 Fidel huwezi kwenda hiyo guest na wapenzi wako wengi si unsona jina lilivyo? lazima nafsi itakusuta
AMINATA 9 JF-Expert Member Joined Aug 6, 2011 Posts 2,120 Reaction score 642 Nov 14, 2011 #9 hahahaaaaaaaaaaaa
Makindi N JF-Expert Member Joined Mar 14, 2008 Posts 1,066 Reaction score 177 Nov 14, 2011 #10 Kuna guest inaitwa Wasi wasi Lodge - iko Mikese.................
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,945 Reaction score 4,506 Nov 14, 2011 Thread starter #11 Sordo said: Fidel huwezi kwenda hiyo guest na wapenzi wako wengi si unsona jina lilivyo? lazima nafsi itakusuta Click to expand... Huwa najifanya hilo jina sijaliona nazama tu
Sordo said: Fidel huwezi kwenda hiyo guest na wapenzi wako wengi si unsona jina lilivyo? lazima nafsi itakusuta Click to expand... Huwa najifanya hilo jina sijaliona nazama tu
Billie JF-Expert Member Joined Aug 13, 2011 Posts 13,709 Reaction score 23,144 Nov 14, 2011 #12 Mkoa gani hiyo
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 6,827 Reaction score 1,313 Nov 14, 2011 #13 du hommie..................mbona bango ni kubwa namana hiyo; hawakudai cheti cha ndoa mkiingia?
Chatumkali JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,037 Reaction score 459 Nov 14, 2011 #14 Short time bei gani?
Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 2,950 Reaction score 2,489 Nov 14, 2011 #15 Billie said: Mkoa gani hiyo Click to expand... hiyo Njombe mkubwa. Sasa Fide kwa sasa tunaoishi mbali unatushaurije ili kuokoa gharama?
Billie said: Mkoa gani hiyo Click to expand... hiyo Njombe mkubwa. Sasa Fide kwa sasa tunaoishi mbali unatushaurije ili kuokoa gharama?
frank lujaju Member Joined Aug 21, 2011 Posts 58 Reaction score 4 Nov 14, 2011 #16 Fidel80 said: Self bei yake Tsh.6000/= kwa usiku mmoja Single bei yake Tsh.3000/= kwa usiku mmoja Click to expand... Yap nimeipenda tukio ndani tunapeana neno tu kwenda mbele
Fidel80 said: Self bei yake Tsh.6000/= kwa usiku mmoja Single bei yake Tsh.3000/= kwa usiku mmoja Click to expand... Yap nimeipenda tukio ndani tunapeana neno tu kwenda mbele
usininukuu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2011 Posts 380 Reaction score 44 Nov 14, 2011 #17 Iko wapi hiyo?
K Kabonde JF-Expert Member Joined Aug 12, 2008 Posts 420 Reaction score 41 Nov 14, 2011 #18 Hii haifai unaweza kudaiwa cheti cha ndoa.
Msarendo JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 10,901 Reaction score 7,098 Nov 14, 2011 #19 Iko wapi, sumbawanga nini?
fabinyo JF-Expert Member Joined Aug 5, 2011 Posts 3,043 Reaction score 2,243 Nov 14, 2011 #20 hilo jina tu,mimi hoi!inanikumbusha pia,simba kapakatwa pub