Mnamo August 12, 1997 majira ya Mchana Katika wilaya ya Lake nchini uingereza kundi la wazamiaji kutoka mji mdogo wa Kendal waliamua kwenda kufanya mazoezi katika mto ulioko jirani wa Caniston...
habari za asubuhi waugwana, siku za nyuma nliwahi kuandika kuhusu msichana flani ninaye mpenda lakini anadai ana mtu na akadai kama nataka tunaweza fanya mapenzi then tupotezeane kabisa.
Sasa...
Naanza kwa angalizo kwamba habari hii haikulengwa kwa wanawake wote katika ujumla wao, bali kwa wale maalumu waliojikita ktk tasnia ya kuuza miili yao, iwe kwa kujikimu au kwa tamaa tu ya "pepo la...
Kuna siku nilikua pale DSE kumuulizia Broker mmoja (wakiume) nikaambiwa hayupo,,mara mdada mmoja akadakia kwa kusema,,"afadhali leo hakuja kwani pafyume yake huwa inakera.
Leo nimeingia ofisi...
Watu hawaishi kuuliza kama inawezekana kuwa na mtu ambae yuko mbali nae na mahusiano yao yakasurvive.
Jibu ni NDIO, ila kuna mambo ambayo mnatakiwa mzingatie ili mfanikishe mahusiano yenu...
Kwa vile wapo distance relationship jamaa ameambiwa na girlfriend wake kwamba amtafute wa kumpoozea hamu,
halafu na huyo girl yeye pale akiwa na hamu atakuwa na mtu wa kumtuliza hamu,ila malengo...
wana jf, juz nilikuwa jmos naliomba ushauri kuhusu ku-divert zawad kutoka kwa msichana ambae nilikuwa na mpango wa kuwa na mahusiano nae kwenda kwa kifaa kipya ambacho nimekipata hv karibuni. Wana...
Wadau my ex gal wangu cjui ananitafuta uchokozi gani,ananifuatlia sana facebuk,kila nkicomment kwa msichana yeyote lazima aniulze ni nani wangu,ananitagg picha zake bila ruhusa yangu,jana kanitagg...
Unamtambulisha mchumba/mke/mume wako kwa rafiki yako wa jinsia moja na wewe na kubadlilisha mawasiliano na huyo rafiki yako. Mara baada ya muda, rafiki yako anakuwa na mawasiliano mengi kwa...
Ni mwanaume rijali mwenye umri wa kuwa na mwenza ambaye pamoja twaweza kutengeneza maisha ya mme na mke japo watoto ni majaliwa
Ninamtafuta mwanadada ila asiwe mwela a.k.a askari,awe na umri...
Kuna watu wanaamini wakiwaambia wapenzi wao maisha ukweli wa maisha yao ya kale basi inaonyesha uaminifu na mwenzi kuridhika. Na wapo wengine wanaamini ni disaster kufanya kitendo kama hicho.
Je...
Soma hapa chini yanayojiri kwenye wadada wanaochangamkia married men. Unaweza kujifunza kitu hapa kuhusu kujiepusha nao!
Dating unavailable man.
By Kiundu Waweru
Few weeks ago, Tony M...
Mwezi huu ni mwezi wa furaha kwani siku chache zijazo tutaanza kusikia kila kona ya miji mbalimbali duniani kote ikitawaliwa na nyimbo na mapambo ya X-Mas na mwaka mpya. Hii inaonyesha ni jinsi...
Habari wanajamvi,
mwenzenu nina mke na mtoto mmoja yapata miaka 6 sasa,
mwanzoni tulipooana mapenzi yalikuwa moto na kila mmoja alienjoy,baadae kidogo nikawa busy na masomo (kujiendeleza...
Jamani salama?wakubwa shikamon..wadogo marahaba!vijana mambo vp?,jamani nilikuwa naomba kitu kimoja nilikuwa napenda kama ningepata mtoto wakike ambaye ataniliwaza kwenye mapenzi.mimi nina 21,ni...
Muda huu nikiwa nangoja basi ili nirudi nyumbani kutoka kazini mara nikamuona mke wa jirani yangu akija huku akiwa amenuna na kukunja sura.
Alikuwa anatembea kwa mwendo wa kasi kuelekea upande...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.