Wa kumtolea hamu

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,231
Kwa vile wapo distance relationship jamaa ameambiwa na girlfriend wake kwamba amtafute wa kumpoozea hamu,
halafu na huyo girl yeye pale akiwa na hamu atakuwa na mtu wa kumtuliza hamu,ila malengo yao na future zibaki pale pale.
Jamaa ananiomba ushauri maana hakutegemea kuambiwa hivo na isitoshe wametoka mbali na huyo girl na wamefanya mengu
mengi pamoja.
sasa ushauri gani hapo unaofaa wa wa kumshauri?
 
waache hao tineja wapitie vipindi vyao, unataka waruke steji waje wafanya hayo uzeeni?
 
kumbe kuna maalum wa kutolea hamu ....halafu kuna wengine ndo moyo wako unauweka huko?

nilifikiri wa kutolea hamu ni wale 'wanaojiuza' au????
 
dunia imeharibika sasa.naona hatuthamini tena miili yetu ilimradi turidhishe matakwa ya mwili...where is the commitment to the one you love?
 
Sasa ushauri gani anataka?
Ishu ni akubali kama ataweza au akatae kama hawezi.Hamna cha kushauri hapo. . . ni kiasi tu cha kufanya maamuzi.
akisema hawezi we unadhani yule ataacha kumtafuta wa kumtolea hamu?
 
Sasa ushauri gani anataka?
Ishu ni akubali kama ataweza au akatae kama hawezi.Hamna cha kushauri hapo. . . ni kiasi tu cha kufanya maamuzi.
akikataa we unadhani yule ataacha kutoa hamu kwingine?
 
Teens always they hav issues, let them deal with their issues their own way, wakipass then watafika mbali kwenye mahusiano yao.
 
akisema hawezi we unadhani yule ataacha kumtafuta wa kumtolea hamu?

Kukataa maana yake awe tayari kuvunja huo uhusiano ikibidi. Yani mwenzake akikomalia kuwa na wa pembeni na yeye hilo haliwezi waagane.
 
kumbe kuna maalum wa kutolea hamu ....halafu kuna wengine ndo moyo wako unauweka huko?

nilifikiri wa kutolea hamu ni wale 'wanaojiuza' au????
usikute anaogopa magonjwa kutoka kwa hao wanajiuza ndo mana anataka maalum wa kutolea hamu
 
Kukataa maana yake awe tayari kuvunja huo uhusiano ikibidi. Yani mwenzake akikomalia kuwa na wa pembeni na yeye hilo haliwezi waagane.
Ila kwa aliyekua kiakili mi nadhani anatakiwa kuvunja hiyo relationship mana mpaka aambiwe hivo lazima kuna
reason behind
 
Ila kwa aliyekua kiakili mi nadhani anatakiwa kuvunja hiyo relationship mana mpaka aambiwe hivo lazima kuna
reason behind

Ndio maana nikashangaa anaomba ushauri.
Ni kiasi tu cha kujipima na kuona kama anakubaliana na hiyo hali au la.Alafu ukute mwenzake tayari alishaanza kujiridhisha zamani, . . .mahusiano yana kazi haya.
 
mi nikiambiwa hivo najua kuwa alishakuwa na mwingine kwahiyo anataka usishtuke siku ukigundua ana mwingine
 
Ye akae akijua kuwa mwenzie adi amefikia kusema hayo, ana mtoa hamu teyari. Na hiyo ni kama taarifa tu jamaa anapewa if anaweza kuvumilia. In short akufukuzae hakwambii toka, ni wewe na akili yako tuu!
 
mpaka mtu akuambie hvo ujue amekuchoka
 
Back
Top Bottom