natafuta mwanamke zeruzeru wa kuoa

libent

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
382
84
jamani niko serious nahitaji mwanamke ambae ni zeruzeru awe my wife age kuanzia miaka 28-30
 
sali na kuomba,inshallah subhana wataal atakupa haja ya moyo wako,Amina.
 
mkuu! hauna agenda ya siri kweli? na waswasi na wewe!
 
kama hayo ya kweli all the best,kama una mengine go to hell!
 
Mbona unawadhalilisha?
Unatangaza kama wao ni bidhaa
kipi kinatangulia upendo au uzeruzeru?

Hakuna miiko kwenu?
Huna adabu!
 
Yawezekana kweli una nia njema... But the attitude umetumia kutangaza, I second Kongosho...
 
umeshapata?. wewe inabidi wazazi wake mkaandikishane polisi makabidhiano kabla hujamuoa wala kufunga ndoa. Mia
 
umeshapata?. wewe inabidi wazazi wake mkaandikishane polisi makabidhiano kabla hujamuoa wala kufunga ndoa. Mia

Mkuu bado sijapata vikwazo vimekuwa vingi ila bado naendelea kutafuta sijakata tamaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom