Mke wangu azidiwa,

Ziltan

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
2,649
6,832
Habari wanajamvi,
mwenzenu nina mke na mtoto mmoja yapata miaka 6 sasa,
mwanzoni tulipooana mapenzi yalikuwa moto na kila mmoja alienjoy,baadae kidogo nikawa busy na masomo (kujiendeleza privetly) hapo kidogo ikapunguza kukutana 6x6 kwan mara nyingi nlikuwa nnkirudi kitandan karibu saa 8 za usiku kwa muda wa miak karibu 3,
baada ya hapo nikachaguliwa kwenda chuoni na nashukur nimegraduate mwez jana na sasa nnko nyumban full,
kilichonileta hapa kuomba ushauri ni kwamba kwa sasa mimi huwa siwezi kabisa kulala bila kupata sex,
na hilo jambo shemeji yenu linamshinda pamoja na jitihada zote za kukaa naye kwa upendo wote ,kumwandaa kabla ya tendo ikiwemo kwenda sana uvinza, nk,
lakini haitoshi kwani huwa anaomba nimpumzishe na tukienda anawahi kuchoka japo anajitahidi hivyohivyo kunilinda lakini analalamika sana hadi namuonea huruma kwani kwa sasa anazidi kupungua mwili na sababu aliyonieleza ni hiyo ya kusex kila siku,
naomben ushauri ktk hili tafadhali.
 
Sijawahi kusikia mwanaume anayefanya kila siku na anashindwa kupata usingizi kwa sababu hajafanya....ushawahi labda kuwasiliana na daktari wa masuala ya uzazi kuhusiana na hii? maana naona una tatizo na hakuna mwanamke anayeweza kumudu kufanywa kila siku maana hata wale madada zetu poa huwa wanapumzika hawauzi kila siku.
 
Nunua prize au vibanio vya nguo vya kuanikia, siku hataki unaibana na prize au kibanio cha nguo.

Pole ila hii tiba nimegraduate muhimbili school of reality.
 
Basi usilale, kesha umsaidie kazi za ndani uone kama hatobadilika.
 
Nunua prize au vibanio vya nguo vya kuanikia, siku hataki unaibana na prize au kibanio cha nguo.

Pole ila hii tiba nimegraduate muhimbili school of reality.

Hiyo tiba nimependa mkuu, anunue kabisa na nati akazie kwenye kibox cha mbao aweke na kufuri kabisa ikiwezekana ameze funguo mdada wa watu apumzike. Nashut down
 
Si lazma tendo la ndoa badala yake waweza kumkumbata na kula denda lain after that wawza lala mkiwa wote pacpo vya chumban kwan ukizid hata afya yako itazoofka.
 
Ataweza vya nguo nguo vya enzi za kombolela unavyomuona kweli?

Akati ana kapawa tila

Si lazma tendo la ndoa badala yake waweza kumkumbata na kula denda lain after that wawza lala mkiwa wote pacpo vya chumban kwan ukizid hata afya yako itazoofka.
 
Sijawahi kusikia mwanaume anayefanya kila siku na anashindwa kupata usingizi kwa sababu hajafanya....ushawahi labda kuwasiliana na daktari wa masuala ya uzazi kuhusiana na hii? maana naona una tatizo na hakuna mwanamke anayeweza kumudu kufanywa kila siku maana hata wale madada zetu poa huwa wanapumzika hawauzi kila siku.
huwa nahitaji kimoja tu kila siku,
 
Basi usilale, kesha umsaidie kazi za ndani uone kama hatobadilika.

kazi za ndani ni kama hagusi kwani tuna mfanyakazi na kuna mtoto wa kaka ake kaja hapa wote hawa wanajituma sana ktk kazi ,
 
Unataka kila siku kwa sababu ni ya bure au? Ungekuwa unalipia ungefanya mlo?

hapana it is not the matter of cost benefit analysis though watu wengi are bounded with cost ,ila mi nko hivi naturally
 
Si lazma tendo la ndoa badala yake waweza kumkumbata na kula denda lain after that wawza lala mkiwa wote pacpo vya chumban kwan ukizid hata afya yako itazoofka.

kwa sasa ndio nazidi kunenepa sana na kuvutia sana tofauti na nilivyokuwa chuon ambapo nilikuwa sipati kabisa hii kitu na sikujali sna kwan mostly nlkuw bussy sana
 
kwa sasa ndio nazidi kunenepa sana na kuvutia sana tofauti na nilivyokuwa chuon ambapo nilikuwa sipati kabisa hii kitu na sikujali sna kwan mostly nlkuw bussy sana

Hivi kunenepa ni sifa ehhhh?HONGERA sana kwa kuzidi kunenepa.Alafu huko "kuvutia" unakodhani kunaongezeka si ajabu mwenzio anaona kanapungua ndio maana hana hamu na wewe.
 
Jitahidi kupunguza. Huo mzgo unachosha kwakweli, ndo maana mwenzio anapungua!!! Sio vzur wewe uendelee kunenepa af mwenzio akondeee. Utakuja kuua. Fanya kwa afya, mke ni wako, hauko kwenye mashindano.
 
Jiweke busy maana naona tatizo lako ni kutokuwa na kazi na kufanya mawazo yako yawe hapo hapo kati. Fanya mazoezi sana utapunguza kutamani sex daily.

kwa sasa ndio nazidi kunenepa sana na kuvutia sana tofauti na nilivyokuwa chuon ambapo nilikuwa sipati kabisa hii kitu na sikujali sna kwan mostly nlkuw bussy sana
 
Back
Top Bottom