Shukrani MMU zoezi limezaa matunda

Ndechumia

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
1,103
418
wana jf, juz nilikuwa jmos naliomba ushauri kuhusu ku-divert zawad kutoka kwa msichana ambae nilikuwa na mpango wa kuwa na mahusiano nae kwenda kwa kifaa kipya ambacho nimekipata hv karibuni. Wana jf weng waliniunga mkono wakiniambia kuwa hiyo zawad ambayo ni gaun km bado lipo ktk hali nzur naweza kumpa, na ile ya kusuka rasta za kimasai bora nimpe pesa apange mwenzewe nn cha kufanya. Zoezi nimelifanya na amefurah sana, nawashakuru sana.
 
dah atanidis apoint sana, ila ni mapenz yake achague kip cha muhim rasta au unga

We kijana wewe. . . kwahiyo unataka mwanamke ambae anaangalia kujipamba kwanza kabla ya atakachokula? Siku mkiwa hamna pesa wakati mmeoana anaenda kuchezea 10000 saluni alafu ukirudi nyumbani mnakula ugali na kachumbari.

Kaaazi kweli kweli.
 
Ndechumia, sina tabia ya kuuliza umri wa members, bt I'm itching to. Bt I won't, ok?
 
We kijana wewe. . . kwahiyo unataka mwanamke ambae anaangalia kujipamba kwanza kabla ya atakachokula? Siku mkiwa hamna pesa wakati mmeoana anaenda kuchezea 10000 saluni alafu ukirudi nyumbani mnakula ugali na kachumbari.

Kaaazi kweli kweli.
........Kwahiyo humu inaonekana nipo kwenye kiwango cha juu cha uhongaji japokuwa sijafikia viwango vya kuhonga gari na kiwanja, lakini kwa takwimu hizi!! mmhhh!
 
hivi stori ilanzaje, nikumbushe please!

kuna mdada nilimnunulia zawad then akawa hataki tuonane nimpatie, mi nikapiga chin nipopata mwingine nikaamua kumpelekea coz maumbo yao km vile yapo sawa, ila cjamwambia km haikuwa yake.
 
Back
Top Bottom