Nini faida na hasara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini faida na hasara

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tabutupu, Dec 12, 2011.

 1. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #1
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,497
  Likes Received: 4,161
  Trophy Points: 280
  Kuna watu wanaamini wakiwaambia wapenzi wao maisha ukweli wa maisha yao ya kale basi inaonyesha uaminifu na mwenzi kuridhika. Na wapo wengine wanaamini ni disaster kufanya kitendo kama hicho.

  Je nini faida na hasara za kumpa cv yako YA mahusiano (history) yaliyo pita.
   
 2. driller

  driller JF-Expert Member

  #2
  Dec 12, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  faida na hasara za hili inategea na mpenzi uliye naye...! inabidi umjue kwanza nadhani kabla ya kuanza kumtel haya mambo..! manake wengine yani watayachukua kama yalivyo na yatakuja kuleta matatizo huko mbele wakati mambo yasipo kua mazuri.....!
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Dec 12, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  History ya nini?
  Tunataka yajayo
   
 4. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #4
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,642
  Likes Received: 859
  Trophy Points: 280
  Mmmmh...hakuna faida wala hasara,na sidhani kama kuna sababu ya kumtolea maelezo,eti nilikuwa na nani,mara nime-date wangapi..wewe ndio my present. Kama huniamini lets go Angaza..Baaaasi!
   
 5. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #5
  Dec 12, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,971
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  mpe data sasa kazi kwake yeye mwenyewe...cha msingi awe na full info ili afanye informed decision.
   
 6. h

  hayaka JF-Expert Member

  #6
  Dec 12, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  story za zilizopendwa ni za kazi gani? Unatemana nazo na kuganga yajayo.
   
Loading...