Is it Ethical to monitor your spouse? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Is it Ethical to monitor your spouse?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MwanajamiiOne, Aug 5, 2009.

 1. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #1
  Aug 5, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Habari wanajamvi

  Kuna kitu kinaitwa ethics (what is right and what is not) na katika mapenzi/ mahusiano. Vile vitu ambavyo ni sawa kumfanyia mwenzi wako. Ethics katika ndoa involves how people (Spouses) should treat each other.

  Sasa ninauliza suala la kuchunguzana kwa maana ya spying mume/mke wako kwa siri ili ujue kama ni mwaminifu au la. Je ni sawa- is it ethical to spy your partner? .Partner hapa namaanisha wale wanaomilikiana kihalali -kwa maana ya kuoana rasmi.

  Kuna wanaosema kuwa si vizuri kumchunguza mpenzi wako kwani ni ishara ya kutomtrust na kama kuna information yoyote kumhusu yeye ni vema ukamwuliza mwenyewe badala ya kuspy
  Nini mtazamo wako katika hili?
   
 2. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,865
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Du utaumia tu moyo bure!! Hata simu ya mke wangu siigusi!!!!!
   
 3. Kobe

  Kobe JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2009
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 1,756
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Ukimchunguza bata....utashindwa kula nyama yake,
  we kama umeamua kuoa na kuishi nae basi haina haja ya kupekua pekua kwani waweza kuumiza roho yako bure, mkubali jinsi alivyo na maisha yaendelee taratibu kwani hakuna binadamu aliye kamilifu ndg yangu.
   
 4. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,755
  Likes Received: 2,345
  Trophy Points: 280
  Shost ukitaka kufa mapema fanya hiyo kazi malipo yake ni maumivu!

  Kuna rafiki yangu alimwambia kuwa hata hizi simu suguse kwa kuwa ni Bomu la mbagala.Likilipuka utaumia wewe walal yeye mtenda hataumia.

  Sikiliza adhabu pekee ya mwanaume au mwanamke kwa wale walio kwenye mahusiano muache afanye atakacho halafu sumuulize kitu.

  Akikosa kukuellewa yeye mwenyewe atajirudi,ila ukijiendekeza kumfuatilia utaumia na utalaani maisha yako kwa nini ulimpa moyo wako huyo mwenza.
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Uuuuhh...!!!!!!

  Hiyo siyo habari ya kuuliza polepole,

  Ni muhimu sana kumspy mtu, especially wanawake.! Si waaminifu hawa kabisa ati!
  At least siku za mwanzo umspy vya kutosha, na ukishaona yuko stable na "hadanganyiki" then unaweza ukamwacha aende mwenyewe!
  Kumwamini utamwamini vipi wakati alitokea kwa wazazi wa tofauti na wewe?
  Hivi hajaona watu wanavyojua kusaundisha eeeh?

  Mwingine anaweza kuwa na nia njema kabisa kwamba hatadanganyika, lakini pressure mbalimbali za umasikini, kujilinganisha, fasheni na vitu kibao vinaweza kumsababisha aingie majaribuni, hivyo ukimspy mtu utaona full-mkanda!

  Mi huwa nafurahia sana zoezi hilo, na kwasasa karibu nakata tamaa maana mywife wangu sijapata kumwona akidanganyika.
   
 6. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #6
  Aug 5, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...inapofikia 'unachunguzwa' umeandika nini kwenye JF-mahusiano na mapenzi, ujue mwenzio keshapatwa na kaugonjwa ka akili!

  ...ndoa vituko kweli wallahi!...:D
   
 7. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #7
  Aug 5, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...eeehh?! ah ha ha aa... badala ya kushukuru wewe unakata tamaa?
  haya bana.
   
 8. Kimori

  Kimori JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2009
  Joined: May 26, 2008
  Messages: 217
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maumivu ya kichwa huanza pole pole! Kama huna shaka kwanini uanze kum tail spouse wako? Unatafuta BP na sukari........
   
 9. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #9
  Aug 5, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,755
  Likes Received: 2,345
  Trophy Points: 280
  Nakuomba hii kauli usielte hapa jamaa wanaweza kukutafuta na kukupeleka sehemu ya tukio sijui utasemaje.

  Kingine huwa ukijitangaza hivyo ujue hujapatikana naomba muombe mungu aendelee hivyo ila kama humu JF wanakufahamu na wanamfahamu my waifu wako basi utakuja kushuhudia hapa.
   
 10. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #10
  Aug 5, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Hapa Jamaa anaongelea walio kwenye ndoa.


  Juzi umeuliza kuhusu umuhimu wa ndoa. Sasa huo ushauri wako unatumia kigezo kipi? Au kwako ndoa na uzinzi ni sawa?
   
 11. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #11
  Aug 5, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...hasa ukikumbana na spouse -bingwa wa mind games...
  kila ukichunguza hili anaibua lile, almuradi unasimamishwa kwa vidole gumba mpaka akili ikuingie!

  acheni kuchunguzana, it's not worth it.
   
 12. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #12
  Aug 5, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,755
  Likes Received: 2,345
  Trophy Points: 280
  nahisi kijana hapa umetomboka kabisa na siyo kila mchangiaji mada ya kisiasa humu ndani ni ni mbunge au diwani au spika ila anatumia uzoefu wake akichanganya na mahusioano aliyo nayo na walioko kwenye ndoa.
   
 13. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #13
  Aug 5, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,894
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Kwa jinsi dunia ilivyo sasa. Acha kabisa hoyo kitu. Ukiwa naye kitandani enjoy vya kutosha sema maneno yote. Kamwe usitake kumchunguza..... utajuta. Mi naona kama hujipendi anza hiyo biashara. By the way ulimkuta bikira??
   
 14. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #14
  Aug 5, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,894
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Na hutakaa umwone kwa kuwa huenda ni mjanja zaidi yako.
  Mi nakushauri achana na hiyo tabia kabisa ya kumchunguza.
   
 15. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #15
  Aug 5, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ni kweli ndivyo nilivyokuwa ninawaza hapo zamani kuwa si vema kumchunguza mkeo/meo kwa siri na kama una doubt yoyote ni vema ukamwuliza yeye muhusika (ukiamini kuwa atakueleza ukweli na kuwa yeye ni honest) enough kukueleza hata kama amecheat.

  Ila kwa maisha ya sasa ambapo wote wake na waume wa watu wamekuwa hawaaminiki tena, baba anavyo vitwiga na mama viserengeti au hata wazee wenzao. Je bado ni unethical?
   
 16. K

  Kibongoto JF-Expert Member

  #16
  Aug 5, 2009
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ndio!
   
 17. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #17
  Aug 5, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ni kweli kabisa msemayo ingawa Pakajimmy yeye anao mtazamo mwingine. Mimi inaniwia vigumu hasa kama ninaona kuna dalili za kucheatiwa.......... nikae kimya tu nisichunguze inawezekana kweni na unaona kabisa kuwa uwezekano wa kuelezwa ukweli ukimwuliza ni mdogo sana?

  Sometimes bana hizi rules have to change lol hukawii kufa na kihoro cha moyo! akitoka kidogo unahisi sijui ndo kenda kwenye miadi, akienda sokoni sijui atakutana naye sasa unavipuuziaje hivi?
   
 18. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #18
  Aug 5, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...hata kama ulimkuta 'nayo' si yake bana? au unatembea nayo wewe?
   
 19. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #19
  Aug 5, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Chaku nimekuelewa kabisa ila sasa hapo pa kumwacha afanye atakalo asije akakuletea magonjwa bure humo ndani na si unajua ni mume/mke wako huruhusiwi kumnyima?
   
 20. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #20
  Aug 5, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180

  It is still ethical and i will go to extremes by saying that `its part and parcel of daily life!

  Jamani, watu mbona wanapoagana asubuhi, mke na mume wanaambiana ....take care!!!

  Ya nini hiyo kama mnaaminiana?

  Mwache basi ajiendee kama unaamini atajilinda!

  Kuspy ni muhimu mno, na linatakiwa kuwa zoezi endelevu!

  Bila hivyo, wanawake watakuueni na maisha mnayapenda!
   
Loading...