je inawezekana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

je inawezekana?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kafara, Aug 9, 2009.

 1. Kafara

  Kafara JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2009
  Joined: Feb 17, 2007
  Messages: 1,392
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  wababa wanachugua mabinti wadogo wadogo wanaitwa sukari baba.
  na akina sukari mama nao hawako nyuma kwa kufuata serengeti boy.

  swali ninalojiuliza je inawezekana binti ambaye uchache (pesa) umemtembelea
  akawa hapendi vijana wenzake ila anawazimia wale waliomzidi umri na yuko
  tayari kutumia pesa ili ataoke na "mzee"?

  nauliza hivi kwa sababu nafahamu wapo wanaume ambao wenyewe wanapenda wanawake waliowazidi umri na wala sio kwa ajili ya pesa yao bali wao wanasema wanaburudika zaidi wakitoka na wanawake waliowazidi umri.
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,912
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  Mkuu binafsi naona kama hiyo inategemeana tu na uchaguzi wa mtu binafsi na wala haihusiani na uwepo wa Masugar-Dad wala masugar-mammy.. Kwa sababu wapo vijana wa kiume ambao huona kama kutembea na mabinti ni usumbufu kwa kuwa wanakuwa na mambo mengi (bado damu inawachemka) Na pia wapo wasichana ambao hu-prefer wababa kwa sababu hizo hizo.. Hivyo kwa mtazamo wao, kutoka na mtu aliyemzidi umri inamsaidia kupunguza presha ya kukimbizana na damu changa wenzie..

  Mtazamo wangu.
   
 3. B

  Bao3 JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2009
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 318
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wanawake wengi wanataka watu watakaokua wakiwapa pesa pia. Mwanamke hata awe na hela kiasi gani,anapenda kuona mume anaprovide for her. They are just like that.
   
 4. Kafara

  Kafara JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2009
  Joined: Feb 17, 2007
  Messages: 1,392
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  hapo ndipo lilipo swali langu. yaani binti anayopesa yake anakwenda sehemu
  kujilengesha kwa njemba iliyomzidi umri ili wastarehe. hapa binti haitaki wala kuitamani pesa ya mwanaume bali anaona raha tu kuchukuliwa na jamaa aliyemzidi umri.
   
 5. Kafara

  Kafara JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2009
  Joined: Feb 17, 2007
  Messages: 1,392
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  kweli kwa vijana wa kiume wapo ambao wao bila kuchukua mwanamama waliowazidi umri hawaoni starehe. tena hata kama pesa watatumia mradi atoke na mama aliomzidi umri. bahati mbaya sijaona binti ambaye yeye anazimia tu wanaume waliomzidi umri na si kwa sababu ya security wala pesa bali anapenda tuu. ndio maana nauliza wapo hao?
   
 6. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #6
  Aug 9, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Sichaguwi ,imani yangu kuwa kila mmoja ana laza yake .inabidi iwe una onja onja huku na kule ili kupata pale unapoona ni heri yako,hata ukienda madukani unachagua na kama haitoshi siku hizi maduka mingi wana sehemu chemba ya kujipima ,tatizo wanawake nasikia wanajipima mpaka underwear na saa ingine ndio haivui ,anaingia na tatu anatoka na mbili ,sijui wanakuwaje ?
   
 7. O

  Omega.Omega Member

  #7
  Aug 9, 2009
  Joined: Jun 29, 2009
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inawezekana kabisa.
   
 8. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  wapo kabisa mabinti wanaopenda wanaume waliozidi umri si kwa pesa wala security ila kwa upendo wa dhati kabisa.
   
Loading...