Lazima mdanganywe?

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,444
Imetokea mara kibao nikimtokea mnyange nataka kuwa na uhusiano nae wa kimapenzi tu na sikumwoa nimekuwa napigwa vibuti kutokana na kuweka wazi dhamira yake kwa mrembo. Nilipo kaa na wadau wakaniambia hii gia siku hizi haitumiki ingia kwa gia ya kuoa, basi tokea hapo hii gia inanisaidia kumega ingwa mnyange mwenyewe anajua fika namfunga kamba kuwa sina lengo la kumuoa namega tu na kuachana nae anakubali.
Je wanyange kwanini mnakubali kudangwanywa kirahisi hivyo? Mpaka mtu aingie kwa gia ya ndoa ndo ukubali huku ukijua unadanganywa?
 
hUO NI ULIMBUKENI WALA SIYO FORMULA;KINACHOTOKEA SIKU HIZI KUOLEWA NI HESHIMA SANA KWA KUWA WADADA WAMEKUWA WENGI MNO NA WANACHANGANYWA SANA HIVYO UKIJA KWA GIA HIYO YEYE ANAONA KUWA KAJIENGUA KWENYE KUNDI LA KUMEGWA SI UMEMWONA IRENE UWOYA ALIPOAMBIWA KUWA ANAOLEWA HAKUJALI KABILA WALA DINI NDO KAMA HAYO KWA HIYO KAMA SHEMEJI YETU ANGEKUWA NA LENGO LAKUMEGA KAMA AKINA H.BABA ANGEMEGWA MPAKA AKILI ZINGEMTOKA
 
Mla huliwa yaani kama vile muongo hudanganywa..kama wewe ulivyodanganywa kutengeneza nywele kwa wiki ni 70,000/- ulijisikiaje?
Gia ya kuoa labda ukutane na mtu desperate sana ya kuolewa..Jamani kuolewa ni majaliwa!..Leo nikikwambia Fidel naolewa utajua nimedanganywa?.
 
Unafikiri huyo H-baba hakuingia kwa gia ya ndoa?
Swali kwa nini sasa mnakubali kumegwa kabla ya harusi maana hujui mwoaji ni yupi mtu anakuja na maneno matamu matamu unamkubalia kumbe lengo lake ni kumega kwanini usisubili mpaka siku ya kiama?
 
Ah Fidel nawe!! mbona hii ni ya muda tu?

kwa nini tunakubali kumegwa kabla ya arusi? kwa nini mnaomba kumega kabla ya arusi?
 
Gia ya kuoa labda ukutane na mtu desperate sana ya kuolewa..Jamani kuolewa ni majaliwa!..Leo nikikwambia Fidel naolewa utajua nimedanganywa?.

hehehe Muoshwa huoshwa Bellies,
Tatizo lipo pale pale mi nina hamu ya kumega nakufuata nakuambia kabisa dhamira yangu unanitosa nikija kwa gia ya kutoka kukuoa wkt unaelewa fika siwezi kukuoa hapo unanikubalia nikumege kwa hiyo uongo ndo unakubalika sio?
 
kwa nini tunakubali kumegwa kabla ya arusi? kwa nini mnaomba kumega kabla ya arusi?

MJ1 mke mwema anapatikana kwa Mungu sio hali kadhalika mme mwema anapatikana kwa Mungu kwa nini utende dhambi umegwe kabla ya harusi?
Wewe ukikataa kumegwa mi nitakulazimisha kukumega?
 
Mla huliwa yaani kama vile muongo hudanganywa..kama wewe ulivyodanganywa kutengeneza nywele kwa wiki ni 70,000/- ulijisikiaje?
Gia ya kuoa labda ukutane na mtu desperate sana ya kuolewa..Jamani kuolewa ni majaliwa!..Leo nikikwambia Fidel naolewa utajua nimedanganywa?.

Mpashe huyo mpwa wangu!! BelindaOne
 
MJ1 mke mwema anapatikana kwa Mungu sio hali kadhalika mme mwema anapatikana kwa Mungu kwa nini utende dhambi umegwe kabla ya harusi?
Wewe ukikataa kumegwa mi nitakulazimisha kukumega?

Maana yangu hapo ni kuwa usimnyooshee vidole demu kwa kukubali kumegwa wakati vidole vitatu vinakupoint wewe kwa kumshawishi kummega.

wengi wa hao wasichana wa namna hiyo huwa wanakosa confidence ya kumkatalia mtu anayemhisi ni mpenzi wake anampenda. Sijajua bado kama sababu halisi ni kutaka kumfurahisha mwenzi wake au anaogopa kumuudhi kwa kumkatalia ila tu naelewa kuwa wengi tu wa hao hufanya hivyo si kwa matakwa yao bali ni shinikizo flani.

Hao wanaoamini hivyo phrase uliyoiandika hapo Fidel bahati mbaya wako wachache sana na ni phrase ambayo inahusishwa na ulokole (sifa ambayo vijana wengi wanaitoa katika maisha ya usasa) ukideclair eumeokoka na unasubiri Mume/mke toka kwa bwana utaonekana si wa kisasa huendi na wakati!
 
Imetokea mara kibao nikimtokea mnyange nataka kuwa na uhusiano nae wa kimapenzi tu na sikumwoa nimekuwa napigwa vibuti kutokana na kuweka wazi dhamira yake kwa mrembo. Nilipo kaa na wadau wakaniambia hii gia siku hizi haitumiki ingia kwa gia ya kuoa, basi tokea hapo hii gia inanisaidia kumega ingwa mnyange mwenyewe anajua fika namfunga kamba kuwa sina lengo la kumuoa namega tu na kuachana nae anakubali.
Je wanyange kwanini mnakubali kudangwanywa kirahisi hivyo? Mpaka mtu aingie kwa gia ya ndoa ndo ukubali huku ukijua unadanganywa?
mmmhhh fide na hivyo vitoto vyako unavovichukuaga huko uchochoroni vinakupa shida angalia usifungwe tu miaka 60, maana sioni na utu uzima wangu huuu ambao nishaona waongo kama wewe elfu moja ukaja na gia hiyo ya ndoa na mie nikachachawa, tena bora useme ukweli kuliko kusema kunioa ndo ntakuona muongo kupindukia,
so it depends na mazingira ya huyo dada kama alivyosema chaku ni ulimbukeni tuuuu
 
ndo maana wanaitwa ATM,saccos na mabuzi

Hahahaha mnaita hivyo kutokana na mavumba/ngawira/mapene/mshiko/mkwanja/kisu/ugari mnao katiwa si kama yule wa kulitachi alikuwa ananiita pedeshee
 
mmmhhh fide na hivyo vitoto vyako unavovichukuaga huko uchochoroni vinakupa shida angalia usifungwe tu miaka 60, maana sioni na utu uzima wangu huuu ambao nishaona waongo kama wewe elfu moja ukaja na gia hiyo ya ndoa na mie nikachachawa, tena bora useme ukweli kuliko kusema kunioa ndo ntakuona muongo kupindukia,
so it depends na mazingira ya huyo dada kama alivyosema chaku ni ulimbukeni tuuuu

Naaaam!:)
 
msitake kujidanganya. kwani yeye anavyokukubalia unafikiri hana lake kichwani? kwa hiyo hua mnajiona mmewin kweli eeh? pole yenu. kwa taarifa yenu mwanamke anapokukubalia uhusiano wa kimwili kabla ya ndoa sio kwamba yupo desparate kihivyo....... ni basi tu. anaweza kukataa vile vile.... utamfanya nini?
 
hivi kuolewa ni dili kiac hicho mpaka wadada wachachawe na hiyo gia? na ni wadada wa wapi hao jamani?
 
Back
Top Bottom