Does age matter?

Kibongoto

JF-Expert Member
Aug 5, 2009
227
5
A female colleague of mine wants to marry a guy 4 years younger than her. I was tying to figure out: Can it Work?
 
Last edited:
Can not work at all, kwanini utafute gari lilikwenda mileage nyingi?
 
meni ukiwa mkubwa haina neno lakini shori awe mkubwa soooo....
 
meni ukiwa mkubwa haina neno lakini shori awe mkubwa soooo....

tofauti ya umri nzuri ni kati ya miaka 1-5, ikizidi sana sasa hapo mwanamke atakua anamwamkia mumewe!
 
It does not matter for now lakini wakielekea uzeeni huyo rafiki yako ajiandae kuwa mvumilivu na kukubali yaishe.
 
Huo umri sio mkubwa sana kama mdada atajua kujiweka,lakini kama anamwili mbaya akizaa tuu ataona utofauti wake ,na mtu asikudanganye umri unamata kwenye mapenzi hasa mkikua
 
A female colleague of mine wants to marry a guy 4 years younger than her. I was tying to figure out: Can it Work?

It will only work if age does not matter to both of them! My experience is that to most people the age of a spouse does matter though on differing scales.

It is important that before a decision to get married is made, each partner know the age of his potential spouse. I know some people would try to hide their age to a partner, but this puts the resulting marriage under a serious risk if the hidden age is somehow known after the marriage.
 
hahahahaha nyamayao eti mambo babake lol yaani wewe utakuwa umezaliwa ocean road umekulia kariakoo yaani mtoto wa mjini lol

hata mie huwa sielewegi kabisa masuala ya kuamkiana loo sasa hapo ni mume mdogo anatakiwa amwamkie mama (pamoja na kuwa anweza akawa anamliza kama mtoto mdogo nyakati flani afu asubuhi shikamoo wife lol Kwa kweli it doesnt come come
 
msiseme tuu doesnt matter, wewe kama wewe unaona shega tu, lakini wazee wako, ndugu jamaa na marafiki mazee lazima watakumaindi!., na kwa nini uchukue limzigo? tafuta saizi yako bana, heshima hakuna siku hizi hata watoto wako wakijua mama yao ndio mkubwa hawatakuheshimu!
 
doesnt matter at all kama wanaliona hilo! issue sio kuzeeka kwa mwenza, kwani wanaume hawazeeki? mbona mijibaba imeoa vibinti age difference miaka 15
 
4 yrs difference sio big deal. Ila kama mke ana mwili mkubwa nao unaweza ukaonekana kama kaka yake mdo. Kama mke atakua na mwili mdogo haina shida kabisa. Tena kama ana penzi la dhati wataishi kwa raha sana with maximum care.
 
Age does/doesn't matter on both sides. Kwa nini iwe ajabu kwa mwanaume kuoa mwanamke wa kumzidi umri na isiwe ajabu kwa mwanaume kumuoa mwanamke mwenye umri mdogo. Matatizo au raha ya kuoa au kuolewa na mtu wa kukuzidi umri au kuwa umri mdogo yapo pande zote.
 
Back
Top Bottom