Tuache mapenzi ya "DECI" kwenye NDOA zetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuache mapenzi ya "DECI" kwenye NDOA zetu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Aug 7, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,403
  Likes Received: 5,679
  Trophy Points: 280
  habarini za sahizi ndugu wapenzi.....nimekuja kukumbushana tu jamani najua wako watakaohoji...lakini hata wale wanaoanguka dhambini kwa ajili ya uzinzi ni shetani hatuna budi kumkimbia na kuachana nae....
  sasa basi ni vyema wanandugu tukalinda na kuheshimu ndoa zetu...badala ya kuanza kuwekeza kwa mabinti wadogo kwa wakubwa na mwisho kuishia kama mchezo wa "DECI""
  Wapo wengi ambao wanaanguka na mwisho wa siku kuona aibu na kupata fedheha kwa familia watoto..la hasha hatimae yule mkewako uliekuwa umemuasi na kuamua kuiba pendo lake ndie anaekuja kukuliwaza siku ya mwisho....najua kuna tamaa za dunia lakini wanandugu tujali ndoa zetu tupende ndoa zetu uwezi sema unapenda watoto wako wakati mkeo una mcheeeeeeeeeeeeeeeeat.....huo ni unafiki....hata kama ni pepo jamani basi tusikubali apite kwenye ndoa zetu....mke mwema hupewa na bwana labda niwaambie unajua wakati umeomba mke ulimwambia mungu akupe unaefanana nae...lakini ukiwa na nyumba ndogo unadiriki kusema mkewangu mshenzi tu hana maana weeeeeee kama ni mshenzi na wewe ni mshenzi zaidi...maaana uliomba wa kufanana nae...hata akiwa mzinzi mwombe MUNGU ambadilishe badala na wewe kuanzisha mapenzi ya deci....
  MWISHO NAWATAKIA MAISHA MEMA WALE WOTE WENYE NDOA ZAO MUNGU AWALINDE NA PEPO LA UZINZI NA KUWAFUNIKA NA DAMU YA YESU....nawatakia kila la kheri muishi maisha mema yenye baraka...tuachane na sugar mumy"s na dogodogo/...
   
 2. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,868
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Pointi kubwa!!

  Je watu wataacha?? Clinton alicheat wakati Hilary ni bomba kama nini!! Je kwa nini alicheat??
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,403
  Likes Received: 5,679
  Trophy Points: 280
  MKUU mzalendo ile ni dhambi ya asili
  na labda nikwambie hata yule anaefanya haya sio yeye....kuna majini yanaitwa subiana....jini mahaba ,,,jini lubash....haya ni majini yapo kwa ajili ya kuaribu ndoa za watu...na yanafanya vile kwa ndoa ambazo wanaziona hizi /ama hawa wakiungana wataleta matunda mazuri kwenye ndoa zao....hili linawafanya watu wanakuwa craizy...sasa katika ulimwengu kuna majini ambayo hata uombe kwa kulia hayatoki mpaka uyataje majina....na moja wapo ni haya kwa wale wenye ndoa mkiwa mnasali kumbuka kufukuza jini mahaba...lubash na subiani msiogope kuwataja majina msipowataja majina mengi yanakuwa vigumu kutoka....kwa hiyo unapopewa maombi ya kutosha uzinzi unaisha....ndugu yangu mzalendo na kama huamini niorodheshee majina ya watu unaowahisi wanamatatizo hayo...taja na uhusiano wako kwenye PM....TUWASHE MOTO...
   
Loading...