Is it me or it what it is?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
Karibu kila kona ninakopita naona wajawazito wengi mno kuliko waja wepesi. Sasa nimeanza kujiuliza kama ndio matatizo ya kiuchumi yamewafanya watu wawe nyumbani muda mrefu na "kufarijiana" au ni kawaida ya majira haya ili watu watime kujifungua wakati wa Krismasi na mwanzo wa mwaka?
 
Back
Top Bottom