Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Inasikitisha,mke na mume walikua wanaishi maisha yao mazuri tu.Wiki mbili zilizoisha,mke alihamisha kila kitu kwenye nyumba waliyokua wanakaa.Ilimuuma sana mwanaume kufanyiwa kitendo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
kulikuwa na mdada mmoja mwenye jamaa yake mwanajeshi'huyo jamaa alihamishwa akaenda kufanya kazi mbali na anapoishi yule dada'siku anamsindikiza yule dada alimpa jamaa picha yake akamwambia kila...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Deleted
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Jibu hayo maswali halafu uangalie nafasi yako hapo ulipo!....Naweza kuorodhesha matamanio ya mafanikio ya mwenzangu kimaisha..YES/NO? Najua mambo anayohofia mwenzi wangu kwa nyakati...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
I read this story of Steve HAwkins, the man i admires a lot (ahead of of Chopra to be honest), and at he shares the same sentiments After reading the story, though it is very brief and doesnt say...
4 Reactions
103 Replies
7K Views
Kuna kipindi nilikua naangalia mdada kamkuta mtu aliyebeba vitu kwa mikono yote miwili anasumbuka kufungua mlango, akafungua alafu akaufunga nyuma yake kana kwamba hakukua na mtu mwingine pale...
9 Reactions
91 Replies
6K Views
Hello my dears in the community,I always fail to differentiate between educated and non educated,so can we share ideas on how somebody behave and appreciate he/she is educated.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Niliachana na GF wangu tangu mwaka 2010.Jana katika pitapita zangu,nikaingie kwenye hotel flan kupata moja mbili,kuangaza kwa mbele zaid nikamuona nae kakaa na marafik zake wa kike wanakula na...
1 Reactions
61 Replies
5K Views
1. It's important to have a woman, who helps at home, who cooks from time to time, cleans up and has a job. 2. It's important to have a woman, who can make you laugh. 3. It's important to have a...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 29.Nimeolewa na nina mtoto mmoja. Juzi nimegundua kwamba mume wangu anatembea na mmoja wa marafiki zangu. Nilimsindikiza rafiki yangu kumuona shangazi yake...
4 Reactions
116 Replies
10K Views
Tunapo ongelea neno AIBU ndiyo pia ina maana ya HAYA ? > Ningekwambia lakini nakuonea HAYA. > Ningekwambia lakini nakuonea AIBU. Semi hizo mbili ni kitu kilekile ? Au kuna tofauti ?. >...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Heshima mbele wakuu!!jaman,kwa wale mliopitia vyuo vikuu naomba mnisaidie kwa hili,hvi hzi couple tunazoziona huku vyuon,huwa znaendelea kuwepo baada ya wahusika kugraduate au ni just mbwembwe tu...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Ni kwamba Nancy ( jina halisi kapuni) mmekulia mitaa jirani. Aidha shule zenu pia zilikua jirani, aidha mkawa na mahusiano kimapenzi ya muda mrefu huku mkipeane lukuki za ahadi mwisho wa siku...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wana JF hebu nifahamisheni. Mimi nina rafiki yangu wa kike ambaye urafiki wetu ni katika kazi, kushaurianan kusaidiana kwa ukaribu sana, lakini sio mpenzi wangu. Jamaa yangu anakataa ati...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani wadau JF, Habari za masiku? Nabisha hodi wadau. Nimetafakari kwa muda mrefu yanayojiri JF nikiwa siyo member na leo nimeamua kujiunga nisipitwe na uhondo wa JF
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Vitu gani nifanye nimsahau boyfriend wangu wa zamani.kila saa najikuta nampigia simu,na mtumia text.nifanyaje waugwana?.Uzalendo umenishinda.
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Nimekaa na mchumba wangu tukipiga stori za hapa na pale katika mazungumzo alikusudia kutaja jina langu lakini akataja jina la mwanaume mwengine mwenyewe akajishitukia na kuniomba radhi kwa mtazamo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Spendezwi na tabia ya kina dada zetu kila. wanapoona kamzimia mvulana na wanadet mkate wanakula. Lakini wakiona hakuna dalili za ndoa WANAJISHIKISHA MIMBA hivi nikwann. Hasa wanapoona kijana ana...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Greetings
0 Reactions
1 Replies
955 Views
wakuu naomba wikiendi ya leo tutumie kuijadili hili swala hivi sababu kuu ya watu kujiingiza katika uchangudoa ni nini hasa? Kipato duni au ni tabia ya mtu? Kama ni kipato duni je hawa...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Back
Top Bottom