kufuli imegeuzwa

Kafara

JF-Expert Member
Feb 17, 2007
1,396
411
jamaa yangu kaniomba ushauri.
anadai jana asubuhi kamwona mkewe akivaa
na kila kitu kilikuwa salama, lakini jioni mkewe
aliporudi wakati anabadilisha nguo akaona kwamba
mkewe amegeuza chupi yake nje ndani.

sasa anajiuliza imekuwaje amkewe arudi amegeuza
kufuli? au ndio jamaa wameishamsaidia!

nimemwambia ngoja nifikirie jibu. jee waungwana
mnasemaje?
 
Last edited:
Labda aliigeuza alipokwenda kujisaidia. Mwambie asihangaike kuchunguza sana,yeye atulie na afanye kazi zake. kama mkewe ni mwizi basi atamkamata kirahisi lakini si kihivyo.
 
Huh! Mbona si suala la kuomba ushauri ni dhahili masela wameisha mega tena kisela!
Ushauri; ukimchunguza sana bata utashindwa kula nyama yake!
 
Duh ! Mh ! kujisaidia gani huko mpaka unavua ? kweli kweli mh ? Haja gani hiyo mpaka uvue ??

Mbona hata ktk kumegana hamhitaji kutoa kufuli lote,anaweka kushoto kidogo kitu kinaingia kimyani anarudishia. Angemtilia shaka kwakitu kingine lakini sio hicho mkuu!
 
umemegewawa wewe, na nadhani kilikuwa kitu cha fasta na alimegwa jirani kabisa na hapo mlipo,
 
Huyo jamaa naye acheze hivyo hivyo ila kwa kuigiza. Asubuhi avae vizuri wazi wazi mbele ya mkewe , halafu kokote atakapoenda siku hiyo, ageuze kufuli lake makusudi. Jioni avue mbele ya mkewe huku akijifanya hajangundua kama amegeuza. Then asikie comments za mkewe, maybe atapata picha fulani !!!
 
Sure hii imetulia. Unajua si rahisi kuwa na uhakika asilimia 100 kuwa chupi imegeuzwa alikoenda. Nadhani ushauri wako mkulu umetulia kama ni kamchezo kake basi atareact kumuona jamaake nae chupi imegeuzwa
 
Imetulia hii, duuuuh haya mkuu Kafara.....mwambie jamaa kuwa mke wake wamesha-mega tayari.

hata mimi fasta fasta nilitaka kumwambia "mazee umesaidiwa" lakini nikasita
kwani hiyo ni kauli nzito inabidi kufikiria zaidi.
 
Duh ! Mh ! kujisaidia gani huko mpaka unavua ? kweli kweli mh ? Haja gani hiyo mpaka uvue ??

si ndio hapo sasa! manake labda kama alipitia gym au kufanya
masage akaoga baada ya hiyo shughuli. lakini inaelekea wife wa jamaa
hakupita kote huko.
 
Huh! Mbona si suala la kuomba ushauri ni dhahili masela wameisha mega tena kisela!
Ushauri; ukimchunguza sana bata utashindwa kula nyama yake!

si unajua macho hayana pazia? jamaa imetokea tu kwani yeye
alikuwa anam-admire wife anavyobadilisha nguo mara oops! kufuli
imegeuzwa.
 
Mbona hata ktk kumegana hamhitaji kutoa kufuli lote,anaweka kushoto kidogo kitu kinaingia kimyani anarudishia. Angemtilia shaka kwakitu kingine lakini sio hicho mkuu!

manake kama kumegwa kwa kuvua kufuli inamaana haikuwa shughuli
ya chapchap bali ilikuwa kwa raha zao. hapo ndipo jamaa anapata
kienglish english
 
umemegewawa wewe, na nadhani kilikuwa kitu cha fasta na alimegwa jirani kabisa na hapo mlipo,

afadhali angekuwa wangu jibu lako lingekuwa limenisaidia. lakini kwa vile
jamaa tunaonana ana kwa ana inabidi niwe mwangalifu na jibu langu nisije
vunja ndoa ya jamaa halafu bibie awe hajamegwa :-(
 
Sure hii imetulia. Unajua si rahisi kuwa na uhakika asilimia 100 kuwa chupi imegeuzwa alikoenda. Nadhani ushauri wako mkulu umetulia kama ni kamchezo kake basi atareact kumuona jamaake nae chupi imegeuzwa

ushauri wa gabu ni poa. lakini jamaa akirudi amegeuza kufuli yake wife anaweza kumuuliza jamaa "mwenzangu vipi mbona umegeuza kufuli"? kisha akamwachia jamaa aanze kujieleza. sasa itategemea bibie amekubuhu kiasi gani.
 
Huyo jamaa naye acheze hivyo hivyo ila kwa kuigiza. Asubuhi avae vizuri wazi wazi mbele ya mkewe , halafu kokote atakapoenda siku hiyo, ageuze kufuli lake makusudi. Jioni avue mbele ya mkewe huku akijifanya hajangundua kama amegeuza. Then asikie comments za mkewe, maybe atapata picha fulani !!!

Mkuu hii nimeikubali na imetulia tena imejaa akili timamu..afanye tu hivi atajua kama aki react basi atajua naye alimegwa ila akiona ni kawaida basi na yeye a assume ilitokea akiwa katika mambo mengine.
 
jamani ehee hakuna 'haja' ya kumghafilisha mtu hadi asahau kuvaa vizuri kufuri, na kama alikuwa anamegwa kwa kujinafasi bac pia hangevaa kwa nafasi na kujirekebisha vizuri ili mwenye mali asistukie mchezo,
mimi bado inanipa ushawishi mkubwa kwamba hicho kitu kilikuwa cha fasta tena jirani kabisa kwa hiyo alikuwa anakimbia na muda na kujikuta kaitundika kufuri bila kuiangalia

jamaa kwa nini akupima oil, ili awe na uhakika kabisa KAMA MBWAI MBWAI TU, maana kama kufuri imegeuzwa hata nauhakika hata ndani mambo yalikuwa bado hayajarekebishwa,
KUOA YATAKA MOYO
 
jamaa kwa nini akupima oil, ili awe na uhakika kabisa KAMA MBWAI MBWAI TU, maana kama kufuri imegeuzwa hata nauhakika hata ndani mambo yalikuwa bado hayajarekebishwa,
KUOA YATAKA MOYO

Unapimaje Oil na mke anajua ameiba hivyo lazima sio tu ajipitishe maji bali ni kujiflush kabisa?, so style ya kujisafisha lazima ajichokonoe kwa sana na kama ametumia condom unajuaje pia? Siunajua maumbile tofauti, wengine wakishajimwagia tu maji baridi....haaaa mambo mswano!
 
Hiyo ni bahati mbaya. kinamama huwa wanajisafi baada ya kazi kabla ya kurudi nyumbani. huenda ni wakati huo alibadili nje ndani. Pili huenda wewe mwanamme ni mmegaji sana ndiyo maana kila wakati unahofu kuibiwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom