Nimekaa na mchumba wangu tukipiga stori za hapa na pale katika mazungumzo alikusudia kutaja jina langu lakini akataja jina la mwanaume mwengine mwenyewe akajishitukia na kuniomba radhi kwa mtazamo...
Spendezwi na tabia ya kina dada zetu kila. wanapoona kamzimia mvulana na wanadet mkate wanakula. Lakini wakiona hakuna dalili za ndoa WANAJISHIKISHA MIMBA hivi nikwann. Hasa wanapoona kijana ana...
wakuu naomba wikiendi ya leo tutumie kuijadili hili swala
hivi sababu kuu ya watu kujiingiza katika uchangudoa ni nini hasa?
Kipato duni au ni tabia ya mtu?
Kama ni kipato duni je hawa...
Kisa hiki kilinitokea zaidi ya miaka 15 iliyopita.. Ungana nami..
Wakati huo nilikuwa sekondari, mimi na mabinti tulikuwaa damudamu(kuongea, kusoma pamoja,utani nk), ni katika mazoea haya...
Nilikuwa katika one of the largest shopping malls hapa napo ishi na MashaAllah kuna demu mmoja alikuwa mzuri sana ana figure sio la kawaida.
Nikawa namtazama sana , akageuka afu akapiga tabasamu...
Wana jamvi Heri ya Mwaka mpya,
Siku ya tarehe 31 Dec. 2011, nilikuwa mahali fulani kanisani kwa ajili ya maandalizi ya kuuaga mwaka 2011. Mara akanifuata mdada mmoja ambaye tunafahamiana, na kwa...
different transilations of
(.L...V....E) in different years
1970: Love me But do not
touch me.
1980: Touch me, But do not
kiss me.
1990: Kiss me, But do not
do any thing else. 2000: Do...
Jana ilikuwa siku ya kwanza ya kazi baada ya mwaka mpya. Kama kawaida wakati wa tea time and hata lunch, colleague hawaachi kulete story za hapa na pale. Basi likaja swala moja ambalo lilileta...
Kila story
ukisimulia eti "ilimkuta
rafiki yangu", ukitoa mfano
"rafiki yangu", ukiomba
ushauri, unajifanya
unamuombea shost ako,,
ebu kuwen smart na
mjiamini, hivi hakuna
yanayowakuta...
Kuna kabinti hapa mtaa wa jirani, ukikaangalia kwa umri kanaelekea kuwa na umri kati ya miaka15-17 hvi.. kametokea kunizoe sana, ila kituko kalichotoa leo ni babu kubwa aisee.
Mtu mzima nimetoka...
Kama umeshawahi kufunga mbwa au kumchunguza, utagundua kwamba, mbwa dume ana kawaida ya kutoa sauti yenye kuonesha kuumia au kuhuzunika au kuomba hasa anapokutana na mbwa mwingine ambaye anajua...
Huwa najiuliza,nyie wanawake mnadai haki sawa,kuna eneo sijasikia mnalizungumzia liondoke,suala hilo ni kuwa;Mwanamke anapoolewa kwanini anabadili ubini?Hii si inakua kama "Umemilikiwa"?Unakuta...
Hebu fikiria kwamba, umepika chakula kizuri sana na unaamini mumeo mpenzi wako akirudi kutoka kazini na kula chakula hicho atafurahi, hata kama hatakwambia, ‘asante.' Lakini mume huyo...
Habari zenu?
Dada yangu anahitaji ushauri wa haraka kabla hajapata shinikizo la damu.
Dada anahisi shemeji hampi kipaumbele kama yeye anavyo mjali . Kwa kweli dada anampenda sana huyo bwana,
na...
Mambo vip wana-JF. Kheri ya mwaka mpya. Jamani mi sijui ni ushamba wangu ila nasikitika sana wanandoa/wapenzi ku-share vitu kama MISWAKI, TAULO, NGUO ZETU ZILE, kijiko kimoja wakati wa kula. na...
1. The percentage of women who say that they have sex simply to get their boyfriend or husband to help around the house: 84%
2. 30 minutes of sex burns 200 calories, on average. Foreplay...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.