Ladies, grab your friends...

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,876
2,748
Kuna tangazo hilo huwa nalisikia redion la kujumuika pale sijui zong'waa garden. Linasema mwishowe, ladies, grab your firends. Guys, you know what to do! Sasa, hawa watu wanataka kutuambia nini? kwamba tukajichagulie samaki hapo garden? Kwamba mwanaume toka mwenyewe ila mwanamke wa kustarehe nae utamkuta huko burudanini? NYAMBAFU!! Wajipange upya na matangazo yao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom