Ni zipi dalili za kujua mwenzi wako kuwa anacheat!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni zipi dalili za kujua mwenzi wako kuwa anacheat!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Akili Unazo!, Aug 19, 2009.

 1. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,761
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Ndug zanguni ni dalili zipi unaweza kuzijua kuwa mwenzi wako kuwa anacheat au anatoka nje ya mahusiano yenu?


  • Je nikutokuwa na hamu ya kufanya tendo la ndoa na wewe uliye naye?
  • Je ni kwa kuwa na tabia ya kutonunua na kutoa mahitaji muhimu nyumbani kwake?
  • Je ni kwa yeye kuwa na tabia ya ugomvi usiokuwa na sababu kila kukicha?
  • Je ni kwa na tabia ya kuchelewa kurudi kila siku au mara mbili kwa wiki?
  • Je ni kwa kuwa na tabia ya kumsifia/mume/mke mwingine wakati wewe upo naye?
  • Je kwa kuwa na tabia ya kusikiliza hoja nyingi kutoka kwa marafiki zako juu ya mienendo yako?

  au kuna ishara mahususi za kugundua kuwa mumeo/mkeo ancheat
   
 2. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #2
  Aug 19, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Inategemea na idadi ya mara alizokugomea, mwingine anachoka tu na kazi nyingi za mchana si lazima kuwa anado nje.

  Si lazima pengine pesa analewea au anasave kwa ajili ya future developments. Hili halina guarantee sana kuwa anacheat inawezekana pia hapati pesa ya kutosha au ana madeni nje kibao.

  Frustrations pia zinawezakuchangia yeye kuwa na hasira na wewe kila mara na akajikuta kila ukifanyacho hakina uzuri so ugomvi

  Hii nayo inawezakuwa inachangiwa na mengineyo kama ulevi na washkaji au kuwa workholic

  Hapana Chaku wengine hulka yao, wao wakiona mwanamke hawaishii kusifia bali huweza hata kugeuka shingo but wakawa si macheater bali wanaapreciate uumbaji wa MKUU.

  hapana hii pia inaweza kusababishwa na wivu tu na si kuwa anacheat

  1. Nijuavyo mie kama anacheat utamgundua tu mabadiliko ya tabia ambazo mwanzo hakuwa nazo mf. namna anavyoiprotect simu yake na kwa mwanaume chatting za muda mrefu (huwa sielewi wanaume anayechat na sms muda mrefu huku akicheka mwenyewe huwa anaongelea nini na mwanaume mwenzie? lazima atakuwa anacheat tu!

  2. Kuingia bafuni na simu hata akienda kujisaidia haja ndogo anaingia nayo
  3. mienendo yake haieleweki anaweza akasema yuko ofcn wakati wewe unasikia muungurumo wa gari au mziki.
  4. Receipts mbalimbali zinazoonyesha alikwenda mahali ambapo ukimwuliza anasema hajakwenda.
   
 3. S

  Starworld Member

  #3
  Aug 19, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuongeza mahaba na kukupa kila ukitakacho! Wengi hii sijui kama wanaijua.
   
 4. MduduWashawasha

  MduduWashawasha JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2009
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 1,567
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 180
  mtu anaweza asifanye hata moja kati ya uliyouliza na akawa anacheat.kuna watu siku hizi wana do mchana wakati wa lunch time..faster .....saa kumi na mbili yuko home anacheza na watoto na wewe unajiona mjanja kumbe....
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Aug 19, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Wewe ndio unaelewa game aisee. Kuongezea tu, watu wanatiana kwenye magari, vichaka, na sehemu zingine. Na kutiana hakuchukui masaa...ni vidakika vichache tu kitu na boksi. Halafu mwenzio akirudi jioni saa zile zile za kila siku anakuambia 'hi honey i missed you'...anakupiga na busu wakati katoka kumegwa au kumega..sasa hapo utashuku nini?...ahahahahaha...mlioko kwenye relationship nawaonea huruma sana! Poleni...
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Aug 19, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Teh teh teh teh nimeipenda hiyo.
  Wengine wanamega/kumegwa asubuhi ana enjoy weeeee akirudi home wewe unajua alikuwa kazini kumbe amekula kona alikuwa na buzi maeneo.
   
 7. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #7
  Aug 20, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  yale yale ya ma colleague, anasemaga mr wake hachiti kabisa, mana anarudi home saa 11 juu ya alama, jmoc/jpili ni cku ya kupumzika home na familia,yupo free na simu ya mumewe kuanzia kusoma sms hadi kuchunguza jina gani limeongezwa leo etc, lakini angejua huyo mume anayoyafanya chini ya jua nadhani ataparalaizi, mume hajatulia hata nukta.....btw! mie nashangaaga unamwamini mtu kwa kic hicho? yani unajiona kabisa kwamba wewe ni wewe.... mie hata nikimkuta home saa 6 mchana haijanifanya nione kwamba jamaa achezi rafu......haaa
   
 8. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #8
  Aug 20, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  mie ndio mana ctakagi kuumiza kichwa kujua kama jamaa ana chiti au vipi, mie natakaga tu nipewe vidhibiti nivifanyie kazi, muda wa kusema namfatiia na kuwa na wac kwamba jamaa anachiti coz jana kachelewa bac leo akija napekuwa cmu yake ndio cnaga, na nikijua kama anachiti anajuaga kasheshe yake....alaaa wanaume bwana!
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Aug 20, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180

  Duuu.....!!
  Nimecheka sana na hii comment.!
  We MduduWashawasha Usitufundishe mambo tusiyoyajua bana, TUSIJE TUKAANZA KUYA PRAKTIZ!
   
 10. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #10
  Aug 20, 2009
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Dalili zaweza kuwa nyingi tu kutegemea na aina ya mtizamaji na yule anayetizamwa (emotionally, physically and psychologically). Ni vema pia kuwa makini na namna unavyozitafsiri hizo dalili maana mara nyingi binaadamu 'tunaona kile tunachotaka kukiona' na si uhalisia.

  Kimsingi hakuna ishara/dalili mahususi ambazo zinaweza kuapply kwa kila mtu (kama dalili za malaria vile, wengine huumwa kichwa, wengine joto linapanda, wengine tumbo/kuhara, wengine kuchoka nk).

  Kikubwa katika ndoa ni uaminifu, kujiamini na kuaminiana. Kukosa kujiamini mara nyingi pia kunasababisha mtu kuwa na wasiwasi na mwenza wake. Kwa mfano kama mwanamkwe anadhani si mrembo wa kutosha kuendelea kumvutia mumewe ni lazima ataanza ku-act irrationally!
   
 11. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #11
  Aug 20, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Unajua Nyamayao siku hizi kuna kamachezo gani?
  Mtu anakuwa na line 2 kama ni voda basi anazo 2 kama tiGo basi anazo 2 kwa ajili ya kuwasiliana na viburudisho vya pembeni hii nimeikuta hata kwa wanawake wengi sana wanacheza mchezo huo huwezi shtukia labda uifume hiyo line na inafichwa balaa akiwa kazini basi anaweka line hiyo kama siku hiyo ana hamu ya kumega/megwa basi watawasiliana kwa line ya pembeni na yule hawala anapewa namba ya pembeni si namba ya siku zote anayo tumia basi anajivinjali kwa raha zake asubuhi mpaka jioni kazini si anaweza singizia anaumwa au kuna msiba kumbe yupo sehemu anakula raha tu mbona utaamini mpenzi wangu ametulia saa 12 yupo nyumbani hata bar hapitii ooh tupo wote muda wote sijui nini maskini kumbe dili zinachezwa mchana au asubuhi binadamu wajanja sana cmu yake anaweza kukupa au ukachunguza na usione hata sms hata namba mpya.
   
 12. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #12
  Aug 20, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,761
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  kwa hali hii na kama haya mstyle yanatumika mungu atupe uvumilivu na upeo wa kuvumiliana katika mahusiano yetu!!
  kwa maana nyingine kama watu wameweza kubuni style zote hizo basi kucheat njia mbadala ya kupunguza stressss!!!!!
   
 13. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #13
  Aug 20, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  na hilo ndilo wanalofanya wafanyakazi wenzangu wa kiume ofcn, wanatuonyesha mengi na kujua zaidi kuwa mwanaume ni mwanaume tu huwezi sema kuna mwanaume asie chiti kama wapo wanisamehe.....kuna wakaka kama wawili hapa ofcn wana kamchezo hao, 1 kaoa na 1 ana mchumba, huyu mwenye mchumba ndio anampaga hata cmu mchumba wake akae nayo,amsomee sms na amwambie jibu hivi na vile, mchumba anapata imani 100% na mchumba wake, hajajua yanayofanyika mchana kutwa mackini, sasa mdada kama huyu umwambie mchumba wake ana chiti atakuelewa? halafu wengi wanadhani kuchiti ni mpaka m2mie cmu kumbe wakati mwingine huko maofcn wanagaragazana na ma cleaner na wengineo....tunajionea mengi! mie cna imani na mtu ajiheshimu mwenyewe tu bwana.
   
 14. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #14
  Aug 20, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  ma dia hayo yanafanyika sana, yaani mie nakaaga na wakaka wa hapa ofcn na stori zao na mbinu zao mpya wanazopeana kila kukicha nachokaga kabisa....yaani mtu anaweza akakufanya mjinga mpaka bac....ukifikiria sana unakerekwa!...maana m2 anatengeneza uongo mpaka anakufanya uwe na wac pia na jamaa yako wallaah, unaona wote ni wale wale tu.
   
 15. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #15
  Aug 20, 2009
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Mhh..! Kipendacho roho!
   
 16. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #16
  Aug 20, 2009
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Wengine wanaenda asubuhi asubuhi, wanajifanya wanaenda kwa chai. Kumbe ..........
   
 17. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #17
  Aug 20, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  mlioko kwenye relationship nawaonea huruma sana! Poleni...[/quote]


  Mkuu ina maana wewe na nyeto tu!
   
 18. Safina

  Safina JF-Expert Member

  #18
  Aug 20, 2009
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 498
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo sasa ndo pabaya!! Sijui inakuwaje mtu anahangaika wakati utakuta my wife wake au my husband wake yuko fit tu kwa mtazamo. Wana-do chap chap tena kwenye gari. Japo wanasema mapenzi popote lakini hii naona inakuwa tamu saaana kama ni mtu na my husband au mtu na my wife wake yaani vitu ambavyo viko kihalali.
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Aug 20, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280

  Mkuu ina maana wewe na nyeto tu![/QUOTE]

  Nyeto plus na kumega bila exclusivity na commitment. Mbona wanwake wako wengi tu....
   
 20. K

  Kimanyo New Member

  #20
  Aug 20, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ataanza visingizio vingi kama vile kuumwa, kuwa na safari za marakwamara
   
Loading...