Mungu hakuwa na mpango wa kuumba mwanamke? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mungu hakuwa na mpango wa kuumba mwanamke?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Amoeba, Sep 1, 2009.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Kuna mtu anaweza akabishana na mimi kuwa mungu hakuwa na mpango wwa kuumba mwanamke! hayo ni maoni yangu, na biblia iko upande wangu. kuna mtu yeyote anaweza kubisha kwa kutumia biblia au the holly quran?
   
 2. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2009
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Yaani wewe unatafuta MABISHANO baada ya kuelimishana. Ajabu sana! Haya bwana wasubiri wabishi.
   
 3. N

  Ngisi Member

  #3
  Sep 1, 2009
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inawezekana hiyo biblia uneikota manzese. lkn pia inawezekana unampango wa kumkana mzee wako wa kike kama ndie aliekuzaa
   
 4. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2009
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,932
  Likes Received: 2,081
  Trophy Points: 280
  Kwanini unasema/unaamini Mungu hakuwa na mpango wa kuumba mwanamke? Ni wapi alieleza mpango wake wa kuumba mwanaume pekee?

  Tuelimishane bila kubishana!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...