All these words mean sex? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

All these words mean sex?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by The Boss, Sep 9, 2009.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  karibu kila neno tunalotumia siku hizi
  linamaanisha pia sex
  wakati mwingine huwa najiuliza kwa nini??????
  au labda jamii inawaza sana sex??????

  kula.........analiwa,anamla
  kupita.......amempitia,amepitiwa
  kulamba......amelambwa,anawalamba
  kukanyaga.....anamkanyaga,
  kutafuna...........anamtafuna
  kutembea...........anatembea nae
  kupakua...............anampakua,anapakuliwa
  kutia.....................anamtia...
  kubonyeza..........anambonyeza
  kukandamiza...........anakandamizwa
  kuonja.................amemuonja
  kubandua.............anambandua
  kukuna.............anamkuna
  kuchezea..............anamchezea
  kuchapa..............anamchapa
  kucharazwa..........anamcharaza
  kwangua...............anamkwangua
  kusugua...............anamsugua
  kugonga...............anamgonga


  swali langu hapa je hii ni normal kwa kila neno la kawaida
  kuhusishwa na sex au ni sisi wanajamii ndio tumesababisha,
  pili je ni maneno yapi sio ok kuyatumia?i mean hayapo decent?
  nimewahi kuwasikia wanawake wenye heshima zao
  wakitumia neno kupakuwa na kupakuliwa nikabaki mdomo wazi.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  mnaweza kuorodhesha maneno yenu ambayo mnayatumia......na ambayo hamyatumii
  but yanatumika,,,,,
   
 3. GP

  GP JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  kukamua
  kusebenza
  kupigamjengo
   
 4. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #4
  Sep 9, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,359
  Likes Received: 3,124
  Trophy Points: 280
  mhhh ....wandugu chochote ukisemacho hugeuka tusi,why? where is kifimbo cheza na wachafuzi wa lugha?
  mara ...oh yule demu anakamuliwa na mshua,where are we going.
  pscycologists says that:-
  75% of the day people use to think abou LOVE(SEX)
  15%.................................................JOBS
  10%.................................................THE REST
  kwa hiyo si ajabu..........kuona kila neno zuri linatafsiliwa kingonongono.
   
 5. Mbonea

  Mbonea JF-Expert Member

  #5
  Sep 9, 2009
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 640
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Uko ryt mkuu
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Sep 9, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180

  Good Observation!
  You are almost touching the truth of the matter!
   
  Last edited: Sep 9, 2009
 7. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #7
  Sep 9, 2009
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Sasa unaweza ukaomba kazi as Sex analysit...!
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Sep 10, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  maneno ni mengi sana,,,,,,,,,
   
 9. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #9
  Sep 10, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Si nzuri sana kila neno la Kiswahili kuwa na maana ya sex au tusi,
  ila hii imeshakuwa ni ujinga fulani kwenye akili za watu wengi kuwa hata mtu anapotamka neno la kawaida kwenye mazingira ya kawaida watu fulani wanacheka kwa maana ya kwamba ameongea au ametamka tusi. Mimi nafikiri ifike sehemu tuheshimu lugha yetu na kuipenda kwa dhati kwa kukemea pale inapoonekana kuharibiwa
   
 10. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #10
  Sep 10, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Sex analyst kwenye nyanja ipi ya maneno au jambo kitendo chenyewe?
   
 11. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #11
  Sep 10, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  How?
   
 12. Mbonea

  Mbonea JF-Expert Member

  #12
  Sep 10, 2009
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 640
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Anapakatwa
  Anachapwa
  Anakazwa
  Anapekunyeliwa
  Analizwa
  Anatafunwa
  Anapekechwa
  anabomolewa
  Anakung'utwa
  anafunuliwa
   
 13. kikaango

  kikaango Member

  #13
  Sep 10, 2009
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  kumega, kumegewa kummega nayo yapo na mengine mengi ila je ni sifa au ukosefu wa busara? Wadau mi naona hakuna mantiki ni kuaribu lugha yetu tu inayokuwa kwa kasi sasa hivi.
   
 14. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #14
  Sep 10, 2009
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Wadau mambo mawili duniani huwa yanazungumzwa kwa maneno meeeengi wakati maana ni hiyo hiyo na hii ni kwa lugha zote duniani,vitu hivyo ni KIFO na NGONO.Wadau kila mtu a check hili katika lugha yake ya asili achilia mbali Kiswahili.Mfano kwa kiswahili KIFO tunasema katutoka,hatuko naye tena,ametangulia mbele ya haki,amefariki,karudi kwa muumba etc.Ngono nayo hali kadhalika mfano kwa kihaya okusindika,okuchuma,okushabula,okutela,okuharura,okulya,okukuntura etc na hata kwa Kiingereza utasikia ****,bang,hit,screw,give it to her,sleep with her,n.k Kwa maoni yangu naona ngono na kifo ni mambo mawili yako deeply ingrained katika pysche ya mwanadamu.
   
 15. E

  Edmund Senior Member

  #15
  Sep 10, 2009
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sishangai kwani hata Raisi JK akiwa Bungeni alisema "kula uliwe" kwa maana ukitaka kupata kitu lazima utowe kitu, watu wazima na akili zao na Busara zao wakacheka kwa staili ya kumaanisha SEX yaani TUSI
   
Loading...