SMS na majibu yanayokera!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SMS na majibu yanayokera!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by BelindaJacob, Aug 21, 2009.

 1. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Sms: Sweet, nimekukumbuka sana leo, natamani tungekuwa sote mida hii. Upo wapi mpenzi?
  Jibu: Nipo

  Sms: Yaani nimekutafuta kweli mpenzi, mbona ulikuwa hupatikani? Mwenzio sijalala nakufikiria wewe my love. Umenimiss?
  Jibu: Simu iliisha charge

  Sms: Baby leo nakula chakula kitamu kweli. Sijui wewe unakula nini. Natamani tungekuwa wote. Karibu mpenzi
  Jibu: Thank you

  Sms: Honey, yaani ile perfume uliniletea inanukia vizuri ajabu. Yaani hapa nipo nasikia harufu yake na kukuwaza wewe, tena nakumbuka leo umetoka fresh na ile tshirt nilikununulia. Ukisoma hii sms wewe unapata hisia gani?
  Jibu: Tshirt inanibana
   
 2. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  halaaa, nimecheka kwa huzuni! ni bora tu acnijibu kabisa kuliko kuaribiana cku.
   
 3. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #3
  Aug 21, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  yep, sometimes is necessary!
   
 4. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #4
  Aug 21, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  ahaaaaaaaaaaaaa yaani unijibu hivyo nakutosa! mmm ati t-shirt inanibana!
   
 5. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #5
  Aug 21, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Ooh c'mon Shishi, intimacy is not all about clingy lovey-dovey smses. Spontaneity is key and from time to time i'll get u surprised with steamy txts!!
   
 6. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #6
  Aug 21, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  ndio mana na mie nasema bora acngenijibu kabisa, jamaa dizaini kunichoka vile, au walikuwa kwenye kaugomvi? hata kama kaugomvi bac tujibiane vizuri then tutakuja kuweka mambo sawa....mapenzi mzigo mzito aisee.
   
 7. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #7
  Aug 21, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Sasa BJ, tueleze basi ni majibu gani ambayo ungeyapata ungefurahi?
   
 8. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #8
  Aug 21, 2009
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,458
  Likes Received: 1,331
  Trophy Points: 280
  majibu mazuri sana hasa ukiwa busy
   
 9. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #9
  Aug 21, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Sms: Sweet, nimekukumbuka sana leo, natamani tungekuwa sote mida hii. Upo wapi mpenzi?

  Jibu: OOOh baby nimekumiss pia sana tangu jana ;), leo sili nikashiba kwa kukuwaza wewe sabuni yangu ya roho..how i wish tungekuwa pamoja pia.nko ofisini etc ....love u bunny!

  Sms: Yaani nimekutafuta kweli mpenzi, mbona ulikuwa hupatikani? Mwenzio sijalala nakufikiria wewe my love. Umenimiss?

  Jibu: OOh pole mami, simu yangu nilisahau kuichagi sasa ikaisha moto. i will make it up to you! kisses! mwah!


  Sms: Baby leo nakula chakula kitamu kweli. Sijui wewe unakula nini. Natamani tungekuwa wote. Karibu mpenzi

  Jibu: ahsante mami, najua ulivyo stadi wa hiyo dpt, i miss your cuisine, najilia mchemsho tu hapa.......enjoy my dear!

  Sms: Honey, yaani ile perfume uliniletea inanukia vizuri ajabu. Yaani hapa nipo nasikia harufu yake na kukuwaza wewe, tena nakumbuka leo umetoka fresh na ile tshirt nilikununulia. Ukisoma hii sms wewe unapata hisia gani?

  Jibu: switi karibu, am glad unaipenda hiyo perfume, my gal has got to smell sweet... t-shirt bomba kila mtu anaulizia basi naringa kusema imetoka kwa my heartthrob! ahsante sana mami.


  Haya habari ndo hiyo!!!:D
   
 10. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #10
  Aug 21, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280
  heheh hapa dalili si njema hata kidogo!
   
 11. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #11
  Aug 21, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hapo vipi Beli, ungesuuzika?
   
 12. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #12
  Aug 21, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ha ha haaaaa, hi safi sana hope watu watajifunza namna za kuwajibu Wapenzi wao
   
 13. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #13
  Aug 21, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  We acha tu, wewe unakuta una furaha zako zinaisha..


  Ujue na mood ya mwenzio ikoje lakini!!  Job true true, unaweza ku-epress jambo negative in a good way..Eti hata shukrani kwanza!.  Yakiwa applicable both sides eti eeh, au wewe tu ukiwa buzy jamani?  Kama mlikuwa mpo okay lazima ushuku kuna tatizo kwa majibu hayo! Si unajua mazoea..
   
 14. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #14
  Aug 21, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Naona Shishi kanisaidia, angalau vichombezo jamani unless mmenuniana au umemkwaza mwenzio sasa unajaribu kumrudisha kwenye mstari yeye bado na hasira kedekede..  Swadaktaaah!..hata usipoandika dear, mpz au la'azizi lakini uwe na lugha ya upendo..


  NyU, Kweli ningesuuzika, mapenzi kubembelezana!ha ha ha
   
 15. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #15
  Aug 21, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,761
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  utaumia bure nawe tulia kwa kuwa anaweza kukujibu hivyo kumbe anayejibu siyo yeye ni nyumba ndogo au mwenzi wake wa pembeni.

  kikubwa unamsubiria akija unamuuliza hivi ni wewe ulikuwa unanijibu zile msg au?ili uweze pata jibu la majibu husika.

  Sometime majibu ya kwenye cm yanatupotezea mud ya siku kama hauko makini/
   
 16. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #16
  Aug 21, 2009
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Haaaaaaaaaaa....! Yaani leo nimecheka mpaka mwisho....!
   
 17. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #17
  Aug 21, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135

  Duh! inawezekana kimada fulani ndio mwenye kutuma haya majibu eti!!:rolleyes: ati 'nipo'.....kwanza hiyo charge ya sms sawa kama hata umenndika msg ndefu..maximizing kabisa value for money...
   
 18. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #18
  Aug 21, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Jamani kama upo kazini si unajibu short and clear kwani kuna ubaya hapo je angekuchunia?
   
 19. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #19
  Aug 21, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Nyinyi ndio huwa Mnadanganyagwa!

  Hivi kwa akili kidume kitakwambia hii msg siyo yangu ni Nyumba Ndogo? Ili iweje sasa
   
 20. GP

  GP JF-Expert Member

  #20
  Aug 21, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  swadakta shem,
  no comment. [​IMG] [​IMG]
   
Loading...