Wakuu JF.
Wanaume wenzangu tuziangalie hizi dalili 5 za mke aliyetoka kukusaliti..
1. Akirudi nyumbani hutumia dakika moja toka kusalimia hadi kwenda bafuni kuoga.
2. Mara nyingi mavazi...
Kwanza poleni na msiba wanajamii wenzangu.
Leo nina neno hapa linahitaji msaada wenu maana naona dada yangu naona anataka kutoa maamuzi magumu.
Ameolewa miaka karibia saba iliyopita na amekua...
Natafuta mchumba ambaye atakuja kuwa mume wangu
sifa zangu
mimi ni msichana, nina miaka 27 nina shahada ya pili ya sheria (masters) sm 180 urefu, 70KG UZITO , MWEUPE NATURAL SIO MKOROGO.
Na...
Jamani ndugu zangu ni mpenzi wangu ambaye tangia tuanze kujuana takriban miaka miwili sasa hajawa kuniomba kitu chochote hata vocha mpaka hvi sasa tunaplan ya kustart tht new life.na mimi mwenyewe...
Habari wana MMU.
Nilikujaga na thread mwaka jana ya Kabila la Wakurya kuwachagulia wenzi watoto wao, watu walinishambulia sana. Im sory kwa wale ambao waliona kuwa kabila lao halina hiyo tabia...
wale viumbe wanao jiuza usiku wamegundua style mpya. baada ya wateja wao kuwakimbia mala kwa mala, sasa hivi wameamua kuwaajiri wamasai. kama unashindwa kulipa wamasai wanakushughulikia kwa...
Wana wa Jamii haijapita hata wiki kabla hata mate yangu, hayajaanguka chini.
Nilishuka na Thread hapa iliyokua na headin' "HII NYUMBA INAKALIKA ? "
Ushauri niliokua nimeomba ni kumhusu Kaka...
Wapendwa kama mada inavyojieleza hapo juu, nimeamua kuvunja ukimya na kutaka kuingia katika maisha ya ndoa. Mimi ni mwanaume, dini mkirsto. Nina umri wa miaka 31. Mrefu wa wastani, maji...
wakuu, najua kukutana ni mahali popote, mnaweza kukutana kwenye basi, njisni, kanisani, msikitini, mpirani, kumbi za starehe na mahali pengine ambapo sijapataja. maeneo hayo watu wamekuwa...
Samahani sana:
Tumekuwa tukisikia mara nyingi kuhusu mahusino mbali mbali. Kunawazo nimelifanya la astrojia ambalo lina kueleza mahusiano yako na mpenzi wako yakoje.
Basi vinjari .
Kumbuka haya...
Straight up right ya know
Laaaaaydeeees
HaHaHaHaah
I love ya tho
If your man ain't takin care of ya girl don't worry
I'm exactly whatcha lookin' for
1-800 Mr. Lovah
Dig dat
SHAAAAGGY
Are you...
Uchunguzi mdogo nilioufanya nimegundua akindada wengi wana tabia ya kuomba, hata kama wanauwezo wa kiuchumi lakin hawachi kuomba,naamaanisha kumwomba mwanaume pesa. chanzo chake nini? je uko sawa...
Hapa kuna mapenz au nin leo nimemsindikiza hospital thn akapima akanitel haumwi ki2 alafu amepewa dawa kuzisoma ni ya viginer duu nika jifanya sijui kumuuliza akantel niya rashez mi nikavunga...
mie ni kijana fulan wa makamo. but tatizo langu ni hili ambalo limenifanya niingie kwenye jamii forum nipate ushauri.
nina mpenzi wangu ngoja nimuelezee sifa zake kwanza ndo nahc ndo njia rahisi...
Kheri ya mwaka mpya wana Jf kila pande mlipo.
Wandugu, mwishoni mwa mwaka jana nilijitambua kuwa sistahili kuendelea kuishi peke yangu ktk dunia hii, hivo niliamua kwenda home kutafta atakae...
Jamani nataka nielewe, kwann wasichana wa kibongo sio waaminifu? Hii ni kwa sababu nimejaribu kulinganisha wasichana wa nchi zingine kama, Kenya, Uganda, Zambia na zinginezo. Nimebaini kuwa...
habari zenu..jamani mimi tangu nianze kufanya mapenzi nimekua sifiki katika orgasm kama wana wake wengine wanavofika..na pia ni mara chache sana kupata hamu ya kufanya mapenzi...ila nikicheki porn...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.