Wachumba, wanaume wanaongoza

Sipo

JF-Expert Member
Jul 25, 2008
2,139
91
Ukisoma kwenye magazeti, ukienda kwenye mitandao mbalimbali, wanaume ndio wanaongoza kwa kutafuta wachumba. Sababu nini hasa?
 
wanaogopa kuapproach live
kuna mmoja hapa atakuja kujibu ni sababu gani zimemfanya aingie kwenye mtandao kutafuta mwenza
 
Ni utamaduni kuwa mwanaume atongeze mwanamke na mwanamke akitongoza kwa mwanaume anajishushia heshima.
 
Wanaume wanaotafuta mchumba mitandaoni hawapo serious, vile vile naweza sema labda tabia ya huyu mwanaume sio nzuri hivyo kupata mchumba live hawezi inabidi akatafute online.
 
Ni kwa sababu ya kuchagua anayemtaka! labda anataka kuoa MZANAKI, MSUKUMA, MJAMAICA, MUINGEREZA, MTALIBANI, MUARABU, MZUNGU, aliye na degree moja,masters, PHD, DARASA LA SABA (waliomaliza karibuni), aliye MREFU, MWEMBAMBA, MNENE, MWENYE HIPS, MAKALIO MAKUBWA, MWENYE LIPS ZENYE HAJA, ANAYETABASAMU VIZURI n.k ongezeeni mengine...............
 
Wengi wa hawa ni opportunists!
Nimewahi kufanya utafiti mdogo tu kujua hasa inakuwa vipi mwanaume utafute mchumba kwenye magazeti..... nikapiga simu kujua hawa watu wananini hasa kinachowapelekea kutafuta huko na siyo kumtokea mwanamke live..nilichogundua ni kuwa wengi wa hawa ni wenye kutafuta wajikwamue vipi kimaisha.Fikiria , wanaume wana nafasi nzuri zaidi kutongoza mwanamke amtakaye.Kwanini mtu uende magazetini au mitandaoni?Hakuna mchumba anatafutwa bali mwekezaji!
Huenda wako wachache wenye kuhitaji wachumba kweli.Hawa ni wachache.
 
Fikiria , wanaume wana nafasi nzuri zaidi kutongoza mwanamke amtakaye.

Unajua Vera hii kitu mm iwa inaumiza kichwa sana unajua kutongoza ni sanaa kuna watu wataalamu sana wa kumlisha mwanamke maneno matamu na mwanamke akalainika mm binafsi siwezi nashindwa kabisa kutongoza mm nikitamka nampenda kwa mwanamke alafu akanitosa sinaga muda tena wakubembelezea...
 
Wengine wanatafuta ukweli.pia ni kwa sababu wanaume wana ujasiri zaidi kuliko wanawake.Mwanamke ukijitangaza unaonekana kahaba.
 
unajua vera hii kitu mm iwa inaumiza kichwa sana unajua kutongoza ni sanaa kuna watu wataalamu sana wa kumlisha mwanamke maneno matamu na mwanamke akalainika mm binafsi siwezi nashindwa kabisa kutongoza mm nikitamka nampenda kwa mwanamke alafu akanitosa sinaga muda tena wakubembelezea...

hujapenda wewe!
 
Tehetehe nenda/tembelea www.tagged.com utakuta wachuchu kibao na picha zao hawana hiana kuna jamaa yetu yupo hapa kazini anawatafuna balaa. nilijaribu kutuma sms ya just hi fasta nikatumiwa namba ya simu nikapiga tukaongea yaani hakuwa na hiana aliahidi ushirikiano tosha lkn princple zangu ni no sex outta marriage, nikaenda tu kumpa wife mchapo akabaki anashangaa maana na yeye huwa anashangaa eti mwanamke utakosaje mtu wa kukuoa basi nkaenda proove kuwa wapo kibao tuu wanatafuta kwenye mitandao. All in all nionavyo mie wanaotafuta wachumba mitandaoni hasa wanaume kazi yao ni KUMEGA tu au kutest dizaini tofauti tofauti basi hakuna u seriousness huko.
 
Unajua Vera hii kitu mm iwa inaumiza kichwa sana unajua kutongoza ni sanaa kuna watu wataalamu sana wa kumlisha mwanamke maneno matamu na mwanamke akalainika mm binafsi siwezi nashindwa kabisa kutongoza mm nikitamka nampenda kwa mwanamke alafu akanitosa sinaga muda tena wakubembelezea...

Kwenye gazeti na Net ndio rahisi?
 
wanaogopa kuapproach live
kuna mmoja hapa atakuja kujibu ni sababu gani zimemfanya aingie kwenye mtandao kutafuta mwenza
FL1 huyu mbona bado hajatokea. Ni nani? tutajie tu tumjue
 
Ni utamaduni kuwa mwanaume atongeze mwanamke na mwanamke akitongoza kwa mwanaume anajishushia heshima.
Kwa maana hiyo wanawake wanakufaga na tai shingoni? Kwanini wasiwe wazi na hii inawezekana ndi sababu ya kuolewa na watu ambao sio machaguo yao kwa sababu kuogopa kujishushia hadhi
 
Hapa issue ni muda, Kwa Tanzania tunaweza kuwa na muda wa kumfwata mwanamke hata muda wa kazi mchana kweupe lakini kwa nchi za wenzetu zilizoendelea muda wa kwenda kwa mwanamke na kuanza kutongoza ndugu zangu hakuna..!

Watu wana tongozana kwenye Media kisha wanapiga kidate ..wakikutana kama wana same interest basi wanaendelea kuanzia hapo..!

Na si kila mwanamke unaempenda au anaekupenda yupo karibu na kwako. Anaweza kuwa hata nje ya nchi na kwa hali hiyo huwezi panda pipa kwenda mtongoza..!

Na hii ya kutafuta wachumba kwenye Media ina work vizuri sana nowdays kuliko hata ya kutokeana na kutongozana.
 
Unajua Vera hii kitu mm iwa inaumiza kichwa sana unajua kutongoza ni sanaa kuna watu wataalamu sana wa kumlisha mwanamke maneno matamu na mwanamke akalainika mm binafsi siwezi nashindwa kabisa kutongoza mm nikitamka nampenda kwa mwanamke alafu akanitosa sinaga muda tena wakubembelezea...

Mpwa leo nakupinga kwa mara ya kwanza! Demu akiamua kukuvulia Ch.upi hauhitaji maneno mengi. Unaweza mwaga sera za vyama vyote lakini kama hajakumind utachoka bure....lakini akiwa amekupenda ukaweza na utaalamu wa uwongo basi kinaeleweka ila decision anayo demu wala si ujanja wa kutongoza!
 
Nadhani utakuwa unamjua ila unajaribu kumsitiri tu..:rolleyes:!! mwanamke visa visa visa kila kukicha..! Hahahaa!
Anamfahamu sana ndio maana kasema atakuja lakini jamaa naye kachuna kimya kama vile hayupo
 
Back
Top Bottom