Eti?!.............

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,562
Jamani kweli mahusiano ya kimapenzi ni magumu sometimes,

Hii nimeikuta kwenye site moja, mwanamama analalamika kuwa mumewe kamwambia njia yake imekuwa kubwa so she must do something maana hamvutii tena!! na kuwa ameamua kutafuta nyumba ndogo!

Kilichonishangaza kule mie ni kuwa yule mwanamama anadai hajawahi toka nje ya ndoa yake kwa miaka yote mitatu na kuwa wana mtoto mmoja wa miezi minne ambaye alimpata kwa njia ya operation kwa maana hiyo njia haikupata msuko msuko wa kupush.

Sasa najiuliza sipati jibu kama je ni kweli njia imetanuka iwe sababu ya wewe kutafuta nyumba ndogo? katika hali ya kawaida ya mahusiano huyu mume kweli anampenda huyu mkewe? Maana hainiingii akilini kitend alichokifanya

Some Men never cease to amaize me kwa kweli!!
 
Njia ya mwanamke ya uzazi hata akipushi inarudi palepale! That's elastic material. Jamaa anatafuta namna ya kuhalalisha kula nje
 
huyu mwanaume anatafuta sababu tu ya kumuumiza mkewe ,,,,

teh teh mwanamama amuombe mmewe ruhusa na yeye amruhusu atafute serengeti boys

Wanaume wana visa jamani !!! kwa nini mko hivi???
 
Mwanaume mshenzi kweli kweli huyo, yeye si ndio sababu ya kumsababishia mama wa watu K yake kupanuka. Kamwaga vitu vyake kule leo hii anaona kubwa.Na hilo jogoo lake lisinyae tuone kama hata hiyo nyumba ndogo atakwenda.
 
Jamani issue inawezekana siyo K kupanuka ila creativity imekwisha ule utundu aliokuwa anaufanya kucop up na size ya Mb** umekwisha kwa hiyo mama anaiachia nzimanzima na jamaa anashangaa sanaa.

Hivi mnajua kuwa wanawake huwa wabunifu sana kumfanya mwanaume ajione kuwa anamfiti mwanamke?Kwa mama ule utundu kaona ni karaha kuendelea kutenda wakati ameshazaa nae
 
huyu mwanaume anatafuta sababu tu ya kumuumiza mkewe ,,,,

teh teh mwanamama amuombe mmewe ruhusa na yeye amruhusu atafute serengeti boys

Wanaume wana visa jamani !!! kwa nini mko hivi???

FL1 yani hapo hujaelewa kitu kabisa! Ukweli ni kuwa jamaa linataka kujiExpress na TiGo! Stuka wewe!
 
Imeniuma sana hata hata kuchangia siwezi huku ni kuzalilishana. Tena inawekwa kwenye internet? amesahau kuwa kiapo kilikuwa kwa shida na raha tutakuwa pamoja?au shundundu ya mzee ndio inakuwa ndogo yeye akiingia naona ya mama kubwa? akapime kisukari.
 
Imeniuma sana hata hata kuchangia siwezi huku ni kuzalilishana. Tena inawekwa kwenye internet? amesahau kuwa kiapo kilikuwa kwa shida na raha tutakuwa pamoja?au shundundu ya mzee ndio inakuwa ndogo yeye akiingia naona ya mama kubwa? akapime kisukari.[/QUOTE]

i see!DOTS CONNECTED!

mapenzi ni STATE OF MIND!feelings and all that do happen in our minds.
 
Jamani issue inawezekana siyo K kupanuka ila creativity imekwisha ule utundu aliokuwa anaufanya kucop up na size ya Mb** umekwisha kwa hiyo mama anaiachia nzimanzima na jamaa anashangaa sanaa.

Hivi mnajua kuwa wanawake huwa wabunifu sana kumfanya mwanaume ajione kuwa anamfiti mwanamke?Kwa mama ule utundu kaona ni karaha kuendelea kutenda wakati ameshazaa nae

Chaku nakubaliana na wewe kabisa kuwa ubunifu muhmu kinachonitatiza mie ni hii solution aliyochukua huyu mbaba. Kwani kama mtu unahisi utundu wa mwenzio umepungua si kuzungumza jamani? Si ndio maana ya communication katika mahusiano? Sema wifey siku hizi mwenzio sishibi vizuri bana hebu niambie kuna nini?

Sometimes ubunifu unazuiliwa na utendaji wa kazi wa boss wewe kila siku unabuni mbinu mpya za kuwafurahisha wakati Boss hata appreciation hakuna!! Hamu ya kuendelea kubuni unaitoa wapi?

Kuna mdada mmoja yye alikuwa anapoteza muda kule kwenye blog ya Dina akijifunza namna ya kukula muwa (kwani ndo alichokuwa anakipenda mumewe) basi anamfurahisha kila siku mwanaume akitaka tu utamwona analala chali akisubiri huduma. Akishakolea anamgeuza mwenzie haraka anaingia bila kujali kama mwenzie kaloa au lah. Mwanadada kila akimwambia naye anatamani kutembelewa south mr anamwambia yeye ana kinyaa (wakati enzi za uchumba wao alikuwa anakwenda!!) Saa ngapi mdada asiache naye, basi baba kaoa mke mdogo na sababu kubwa ni kuwa mkewe sikuhizi hamfurahishi kama zamani loh.

Sasa ubunifu utauendelezaje kwa mtu kama huyu? Raha ya ushindi ushereheke na wenzio!
 
Imeniuma sana hata hata kuchangia siwezi huku ni kuzalilishana. Tena inawekwa kwenye internet? amesahau kuwa kiapo kilikuwa kwa shida na raha tutakuwa pamoja?au shundundu ya mzee ndio inakuwa ndogo yeye akiingia naona ya mama kubwa? akapime kisukari.

Inawezekana jogoo wake ni kibamia huyu, huku ni kumtusi mkewe.Wangapi wana wake zao na wamezaa na hawacheat wake zao.
 
Nguli mimi sikuwezaisoma yote kwani nilijikuta nashikwa na hasira ya kuua. Najaribu kufikiria huyu mama anajisikiaje maana hadi ameomba msaada wa nini afanye ili njia iwe ndogo!!

Hebu naomba connection ya kisukari na shundundu Nguli!
 
kwani kuna mahusiano ya ukubwa wa njia na habari ya kuzaa?mimi naamini ile habari ni elastic!
 
Kisukari kinashambulia uwezo wa mwanaume wa ku erect strongly na kikizidi hasimamishi kbsa, pia sperms zinaishiwa nguvu kikikupata ukiwa kijana huzai na shundundu inasinyaa siku zinavyoenda mbele.
 
Inawezekana jogoo wake ni kibamia huyu, huku ni kumtusi mkewe.Wangapi wana wake zao na wamezaa na hawacheat wake zao.

We mtoto umeshaziona bamia za kijamaika zilizokuzwa na samadi ya kuku? Matango cha mtoto!
 
kwani kuna mahusiano ya ukubwa wa njia na habari ya kuzaa?mimi naamini ile habari ni elastic!

Got it RIGHT! Kama ya wife sijaona tofauti ya kabla ya kabinti ketu na baada ya hapo. Same same!
 
Pia ukinenepa shundundu inakuwa ndogo na ukibeba vyuma kama akina Shwarznega inakuwa ndogo kwa vile wanaume tunajaza vifua zaidi huwa nyama zinahamia juu.
 
Hapa kuna watu itabidi uwatake radhi. Muzee Nguli na Jitu la Matizi Bwashee Geoff.
 
Back
Top Bottom