idadi ya watoto vs maisha bora

carmel

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
2,836
262
Ningependa kujua hapahapa janvini, wewe uwe mwanaume au mwanamke, ungependa kuwa na watoto wangapi katika familia yako kama hujaanza kuzaa au kama unaeye mmoja tayari. Jibu baada ya kuangalia factors zote za gharama za maisha especially kama unataka mwanao aishi maisha mazuri, elimu bora ili in one day aweze kufanya mambo ya maana na sio kuishi kwa wasiwasi bila kujua kesho itakuwaje. Pia zingatia kipato cha kawaida kwa mtanzania na gharama za elimu zilivyo. Ni kama reseach na ninaamini itatusaidia wengi ambao tuko kwenye dillema ya suala hili.
 
Watoto wanne (4) is reasonable dada Carmel. And this is my plan with my wife. Pia interval ya kuwazaa ni muhimu maana wakikaa karibu sana wanaweza kuwapa shida katika kuwapatia mahitaji yao muhimu ikiwemo elimu na lishe bora.
 
Ningependa kujua hapahapa janvini, wewe uwe mwanaume au mwanamke, ungependa kuwa na watoto wangapi katika familia yako kama hujaanza kuzaa au kama unaeye mmoja tayari. Jibu baada ya kuangalia factors zote za gharama za maisha especially kama unataka mwanao aishi maisha mazuri, elimu bora ili in one day aweze kufanya mambo ya maana na sio kuishi kwa wasiwasi bila kujua kesho itakuwaje. Pia zingatia kipato cha kawaida kwa mtanzania na gharama za elimu zilivyo. Ni kama reseach na ninaamini itatusaidia wengi ambao tuko kwenye dillema ya suala hili.

Mi pia nadhani 3-4 'wanatosha' bila kusahau wale wa uzeeni ambao huja tu bila hodi:)

Mi bado kidoogo..
 
plan yangu ni wawili tu either awe wa kike ana wakiume poa au wakike wote au wakiume wote mzuka tu
 
These are the factors I would consider:

a)Kipato cha familia

b)Uwezo wa mke wangu kuendelea kuzaa(maana maumivu ya uzazi ana pata mwenzangu so she must have a large say in it)

Ningependa kuwa na watoto wawili ikitokea ni wa jinsia tofauti but I would try for a third kama wiwili wa kwanza ni wa jinsia moja then basi lakini with the above factors in mind.
 
Kama uliwahi kuhudhuria Labour nadhani utakubaliana nami kwamba si sahihi kua na zaidi ya watoto wawili kama kipato kinaruhusu, kama hakiruhusu basi hata mmoja anatosha.
 
so far nashukuru kwa response ya wale waliochangia, lakini bado nahitaji michango ya wengi zaidi. Vipi mtu ukiamua unataka mmoja peke yake, hivi jamii itakuelewa, i mean wazazi wa pande zote mbili, mawifi nk? how to deal with them wakianza kuchonga?
 
Hili linategemeana sana na maelewano yako na Mumeo, Kama mnashibana vizuri na mmekubaliana nadhani atasimama na wewe na kuheshimu uamuzi wenu na hatawasikiliza hao wanaochonga.

Cha muhimu ukisikia wakichonga ni ujaribu kuwaambia kua mmekubaliana hivyo na kaka yao, nadhani atawanyamazasha kwa kukutetea, Lakini usijiingize katika malumbano na wifi zako kuhusiano na hili, jaribu ku-maintain friendship na peaceful atmosphere kadri inavyowezekana.
 
inawahusu nini? wanajua shida mnazopata/mnavyojinyima kuwalea?...mie wawili na ndio nimemaliza game hapo......
 
Hili linategemeana sana na maelewano yako na Mumeo, Kama mnashibana vizuri na mmekubaliana nadhani atasimama na wewe na kuheshimu uamuzi wenu na hatawasikiliza hao wanaochonga.

Cha muhimu ukisikia wakichonga ni ujaribu kuwaambia kua mmekubaliana hivyo na kaka yao, nadhani atawanyamazasha kwa kukutetea, Lakini usijiingize katika malumbano na wifi zako kuhusiano na hili, jaribu ku-maintain friendship na peaceful atmosphere kadri inavyowezekana.

hivi hao mawifi wa kuja kukuuliza wewe mpaka mambo ya kitandani na mumeo inawahusu nini? na wao wameolewa? kama ndio bac wao waendelee kujaza familia zao sio waingilie mpaka plans za familia yangu....
 
Hawa mabinti wa nne nilio nao, my waifu akinikubalia tukatafuta tudume kama tunne hivi nadhani watanitosha.
 
Mimi napendelea watoto wanne(4).mapacha wa kwanza wanaume,na mapacha 2 wa kike.Nitamshukuru Mungu sana.
 
so far nashukuru kwa response ya wale waliochangia, lakini bado nahitaji michango ya wengi zaidi. Vipi mtu ukiamua unataka mmoja peke yake, hivi jamii itakuelewa, i mean wazazi wa pande zote mbili, mawifi nk? how to deal with them wakianza kuchonga?

mimi napenda awatatu hadi wanne waachane miaka mitatu mitatu ile isiwe kazi saana kuwasomesha, ndani yake ikiwemo pea ya mapacha ndio mwake...

ukitaka mtoto mmoja we endelea tuu, dawa ya wazazi/mawifi ni kuwatoa nje ya ndoa kabla hata ya kuanza kuzaa yaani usiwaeleze nini kinachoendelea, kwa jamii unauchuna vile vile...kwa sababu hawatajua kama umeamua mwenyewe kuwa na mmoja au hayo ndio majaaliwa ya Mungu
 
Mimi Nimepanga na mai waifu mtarajiwa kuwa ni wawili tu! Wawe mapacha(mme&Mke;mme&mme;Mke&mke) au nini kama watakuwa wawiwili basi baada ya mwaka mmoja tunaongeza huyo wa pili ili tupumzike moja kwa moja! ikitokea wapili wakawa mapacha basi hamna jinsi tutawalea hao watatu! No more! siyo kama babu zetu waliokuwa wakizaa hadi 15! duh! siku hizi si watakuwa vibaka tu! shamba hakuna! nyumba ndogo! chakula mh! mlo mmoja kwa siku! jameni tutaendeleaje??????
 
Back
Top Bottom